Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

Wanatuchanganya.

Tukubali tu hakuna Padre au Paroko wa kuweza kufanya huu ujinga.
Huyo paroko msaidizi kwani hayupo ajitokeze mwenyewe hadharani?

Mbona mpaka sasa huyo paroko msaidizi wa hiyo parokia hajajitokeza kukana haya mashtaka?

Kama polisi wamekosea huyo paroko msaidizi kama yupo si ajitokeze hadharani aseme sio yeye?

Acheni kutetea upumbavu kwa maslahi ya kanisa lenu hilo.

Mnataka kuficha ficha uovu wa huyo paroko wenu?
 
Niamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Huyo paroko msaidizi kwani hayupo ajitokeze mwenyewe hadharani aseme sio yeye?

Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba ni paroko msaidizi?

Kama sio yeye kweli, Huyo paroko msaidizi si ajitokeze hadharani akane kwamba sio yeye?

Mbona mpaka sasa hakuna paroko yeyote msaidizi aliyejitokeza kukana hizo tuhuma, which means huyo mtuhumiwa ndio huyohuyo paroko mwenyewe msaidizi.

Kama kuna paroko msaidizi mwingine tofauti na huyo aliyetajwa mbona hajitokezi hadharani aseme yeye ndio paroko msaidizi wa hiyo parokia?
 
Yanayofanywa gizani na viongozi wa Kanisa Katoriki duniani ni zaidi ya hayo!
Kwa sasa inaleta ukakasi kuita Katoriki ni Kanisa! Ni genge la waharifu tu.
 
Ngumu sana kuwa na Padre muuaji.
Mapadre wanapitia mchujo wa miaka mingi sana kufikia hapo.

Hii taarifa ni ngumu kuiamini
Ndivyo mlivyo pumbazwa na viongozi wenu wa dini hao wajinga?

Yule padri aliyebaka mtoto kule moshi mnajifanya mmesahau?

Acheni ushenzi wa kutetea mapadri wenu wapumbavu.

Mnataka kuficha ukweli kwa ufafanuzi uchwara hapa.
 
Screenshot_20240620-071051~2.png
 
Kumbe siku hizi kanisa katoliki linawapangia mapadre vituo vya kazi mikoa waliyozaliwa?

Unapodanganya watu wenye akili hakikisha una akili za ziada.
Mapadre wako wa aina mbili Kuna wa mashirika na wa majimbo

Wa majimbo wengi Huwa wengi wa Kabila husika au eneo husika unashangaa Nini? Msijaribu kuficha uovu hiki ni Kipindi Cha utandawazi Mjue

kama unaishi kizamani utapata shida sana Kipindi hiki Cha utandawazi utaumwa kichwa

Ukienda kokote mapadre wengi wa Jimbo utakuta ni Kabila husika asilimia kubwa

Wewe kichwani ndie mweupe kanisa na hiyo PhD Yako ni PhD ya ujinga
 
Huyo paroko msaidizi kwani hayupo ajitokeze mwenyewe hadharani aseme sio yeye?

Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba ni paroko msaidizi?

Kama sio yeye kweli, Huyo paroko msaidizi si ajitokeze hadharani akane kwamba sio yeye?

Mbona mpaka sasa hakuna paroko yeyote msaidizi aliyejitokeza kukana hizo tuhuma, which means huyo mtuhumiwa ndio huyohuyo paroko mwenyewe msaidizi.

Kama kuna paroko msaidizi mwingine tofauti na huyo aliyetajwa mbona hajitokezi hadharani aseme yeye ndio paroko msaidizi wa hiyo parokia?
Tuwe na subira jamaa yangu ukweli utajulikana
 
Back
Top Bottom