Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo paroko msaidizi kwani hayupo ajitokeze mwenyewe hadharani?Wanatuchanganya.
Tukubali tu hakuna Padre au Paroko wa kuweza kufanya huu ujinga.
Mbona mpaka sasa huyo paroko msaidizi wa hiyo parokia hajajitokeza kukana haya mashtaka?
Kama polisi wamekosea huyo paroko msaidizi kama yupo si ajitokeze hadharani aseme sio yeye?
Acheni kutetea upumbavu kwa maslahi ya kanisa lenu hilo.
Mnataka kuficha ficha uovu wa huyo paroko wenu?