Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

Friends and Our Enemies,

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well, how you do anything is how you do everything (Dante).

Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.

Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.

Kanisa lijiepushe na chokochoko.
Ukiwahi Hospitalini utapona!
 
Kweli Shekhe Sharifu majini alikuwa amefika kabisa kwenye ATM kuiba, mimi naungana na wewe yule polisi aliempiga shekhe alikuwa sahihi 💯 sababu shekhe alienda kuvunja ATm kwa nini? kama sio ukibaka huo
Sheikh shariff na baadhi wengine wamekutwa na umauti bila sababu lakini chanzo ni hao ma.fala walioleta vurugu.

Riots zikija consequences hazichagui.
 
Friends and Our Enemies,

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well, how you do anything is how you do everything (Dante).

Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.

Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.

Kanisa lijiepushe na chokochoko.
  1. [IMG alt="M O N S T E R"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/685/685771.jpg?1675672745[/IMG]

Sasa kwa nini mnaendaga kwa wanafiki Ulaya/Marekani hamuendi Saudi Arabia/UAE??
 
Sheikh shariff na baadhi wengine wamekutwa na umauti bila sababu lakini chanzo ni hao ma.fala walioleta vurugu.

Riots zikija consequences hazichagui.
IInasemekana aliend kuiba ATM ndio akapigwa⃗ shaba
 
Friends and Our Enemies,

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well, how you do anything is how you do everything (Dante).

Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.

Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.

Kanisa lijiepushe na chokochoko.
UMEZUNGUMZA VIZURI SANA NDUGU YANGU,
INASEMEKANA KWA BAADHI YAO NDIO WAKAWA WAKUBWA WA KUCHANGIA HIZI FUJO ZILIZOTOKEA, MFANO WA YULE MWENYE SEHEMU YA STAREHE, MUUZA BIA, VIDEO YAKE IMESAMBAA SANA WATU WALIVYOVUNJA NA KUIBA, KAPATA KHASARA YA BILIONI ANASEMA, NA WENGINE NA WENGINE MFANO WAKE,
KAMA NI KANISA LINACHANGIA NA HIZI VURUGU, ZIACHE KUFANYA HIVYO.
ILIKUWA LIWAITE WAUMINI WALIOFILIWA, WALIOPOTEZA MALI ZAO WOTE KWA KUWAPA MANENO YA BUSARA NA KUWASUBIRISHA KWA HUU MTIHANI ULIOTOKEA,
 
We ni tahira Roman Catholic is Running eveni
Kanisa lilikuwa even chanzo cha genocide rwanda tunalifaham vizuri sana kwenye issue kama hizi,tutadeal nao bampa to bampa.

Wasijitoe ufaham na kuvaa upofu wa uhalifu uliofanywa na hao wafu wao.

Unapolaani kifo cha jambazi,usiache kukemea tabia mbaya ya ujambazi kwa waumini wako waliobakia na kuwaasa wasijiingize tena kwenye uhalifu kama huo.

Wewe ni mdogo hujui kitu ukita vuruga amani ya Tanzania amzeni kuhangaika na Roman Catholic,this people run even America white house..

#Naanza kuamini wajinga wachache kama nyinyi ndio mna potosha Kwa ushauri wa kijinga Raisi ,na sita kuamini haya yalitokea ni maelekezo ya Raisi Samia zaidi ya wapumbavu wache Kwa interest zao na matumbo Yao mnataka.kuifanya Tanzania kama Congo or Sudan ni vigumu kuamini Mama Samia kama.mama.mwenye.watoto anaweza toa hizi order ,Raisi jitenge na kenge nyingi zimekuzunguka.
 
Friends and Our Enemies,

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well, how you do anything is how you do everything (Dante).

Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.

Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.
V

Sifa za Kiongozi mmoja kutimiza wahuni wake Kwa kuongoza Kwa haki, pili kutumia Hekima

Angalia video hii, "ruwaichi" https://share.google/M96R1g7ujnZaYLbHk
 
Friends and Our Enemies,

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well, how you do anything is how you do everything (Dante).

Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.

Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.
V
Kanisa lijiepushe na chokochoko.
Taifa letu limejeruhiwa na kupoteza heshima tafuta hiyo video
 
Kanisa lilikuwa even chanzo cha genocide rwanda tunalifaham vizuri sana kwenye issue kama hizi,tutadeal nao bampa to bampa.

Wasijitoe ufaham na kuvaa upofu wa uhalifu uliofanywa na hao wafu wao.

Unapolaani kifo cha jambazi,usiache kukemea tabia mbaya ya ujambazi kwa waumini wako waliobakia na kuwaasa wasijiingize tena kwenye uhalifu kama huo.
Wale wahuni wangeichukua dola siku ile hakuna hata mmoja anayelalamika muda huu ambaye angesikitika kuona CCM imeangushwa.
 
Sisi hatukuwa mafala.

Hakuna mali ya mtu ilichomwa na hakuna duka la mtu liliibiwa

Hao mafala wengi walikuwa vibaka,na dawa ya kibaka na mpangaji wa mapinduzi ni shaba tuh
Unapofanya uhaini halafu ukashindwa kupindua serikali jiandae kwa mawili, kupigwa risasi au kifungo cha miaka mingi jela.

Huo ukweli wengi wetu tunajifanya hatuujui tunafumba macho. Dunia nzima utaratibu wa kushughulika na wahaini huwa huo.

Vipi kama hao vijana wangeingia ikulu na kuichukua nchi?. Hawa wanaoleta hadithi za huruma wangekuja na maneno haya haya?.
 
Back
Top Bottom