Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.
Well, how you do anything is how you do everything (Dante).
Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.
Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.
Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.
Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.
Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.
Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.
Kanisa lijiepushe na chokochoko.