Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well, how you do anything is how you do everything (Dante).

Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.

Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.

Kanisa lijiepushe na chokochoko.
 
Waache wakatoliki waombee roho za marehemu na waliopata majeraha.

Nyinyi ombeeni magari yalioungua na vituo vya mafuta.

Kwani tabu inatokea wapi!!??
Tabu ipo kwa hizo double standard

Kanisa ni hodari sana wa kutoa waraka,itoe waraka sasa kwa hao wezi walioharibu mali za watu,umma na wizi.

Wote ni waumini wao na ni waathirika,wasichague upande.
 
Friends and Our Emenies,

Kanisa katoliki jimbo kuu la dar es salaam juma tatu ya tarehe 10 imetangaza misa takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo,vurugu na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well,how you do anything is how you do everything(Dante)

Hii ndiyo double stantard ya kanisa katoliki ambayo most of the time imekuwa inafanya,na hatimae imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu,za umma na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote walioharibiwa mali zao na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli hata kama ni mchungu.

HONGERA KWA SERIKALI NA MAJESHI YETU YOTE KUZUIA WAHALIFU NA KURUDISHA NCHI KWENYE MSTARI,AMANI NA UTII.

KANISA LIJIEPUSHE NA ***** *****
Ww hangaika na kuweka ushahidi wa wapi kura 31m zimetokea, maana voters turnout ilikataa ushindi huo. Shauriana na waisilamu wenzio wawaombee waliopoteza mali zao. Kanisa katoliki halina unafiki huo.
 
Kwahiyo mali ni bora kuliko uhai?
Unamuona kibaka anatoka zake anaenda kuvunja ATM za benk kama tulivyoona hapa juzi.

Na huku anafaham fika pale kuna askari na analinda kwa bunduki.

Akipigwa chuma na kufa unampa vipi lawama askari na serikali?
 
Friends and Our Enemies,

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.

Well, how you do anything is how you do everything (Dante).

Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.

Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.

Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.

Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.

Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.

Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.

Kanisa lijiepushe na chokochoko.
Umeanza kulipangia kanisa wewe kama nani hasa!?
 
Acha umbea mtoto wa kiume kwani wewe ndiye mtoa,au mfanya maombi hadi unajua kuwa yanabagua?
 
Umeshiba kitimoto 🐖🐷
 
Mbona kama unawashwa na RC?
 
Hakuna Taarifa ya mtu aliyeuawa Kwa kuvunjiwa au kuharibiwa Mali yake ila Kuna Taarifa ya Vifo Vilivyosababishwa na Kupigwa Risasi!

Kunjiwa na kuibiwa tutaweza kuchanga na muhanga akapata vitu vyake,Je Uhai wa waliouawa Kwa kupigwa Risasi utafidiwa vipi?
 
Back
Top Bottom