Wakuombee na wewe na lile shetani Samia mbadilikeTabu ipo kwa hizo double standard
Kanisa ni hodari sana wa kutoa waraka,itoe waraka sasa kwa hao wezi walioharibu mali za watu,umma na wizi.
Wote ni waumini wao na ni waathirika,wasichague upande.
Kumbe haulifaham hilo,ushahidi uko kila mahala...nenda utafuteNiwekee ushahidi wa aliyeenda kuvunja ATM
Nimekusamehe bure sababu ya dini yako.Hata wewe,ungetoka ukaenda zako kuvamia ATMs za bank huku unasema unaandamana askari angekulamba tuh shaba,why kwanza na wewe hukuenda ili uombowe misa ya wafu kama hawa wenzako?
Huo ndiyo utetezi wenu bahati mbaya ushahidi wa mliyoyafanya unaonekana wazi wazi.Uongo huu,
Wengi waliuawa wakiwa nyumbani kwao, na mitaani mbali kabisa na barabara za maandamano. Kwa mfano, kuna watoto wadogo, wazee, wagonjwa, askari, shekhe, nk waliouawa bila hatia.
Nyie KMKM na washirika wenu mlikuwa mnaua kila mnayeona
Wa kunisamehe ni Allah pekeyake na siyo wewe.Nimekusamehe bure sababu ya dini yako.
Wa kunisamehe ni Allah pekeyake na siyo wewe.Nimekusamehe bure sababu ya dini yako.
Kwani nyie kobazi hamuwezi kuwa na standard zenu mpaka muwategemee Wakatoliki?Wa kunisamehe ni Allah pekeyake na siyo wewe.
Wafikishie habari hao maparoko kuwa hatutaki double standards....
Sasa wewe hapo fikiria tu, Kanisa lilitoa angalizo mapema muwa kuwe na maridhiano kabla ya uchaguzi. Ili mambo ya uvunjivu wa amani yasitokee, bahati mbaya halikusikilizwa. Sasa watu wamefanya vurugu, wameiba, wamevunja maduka, je hukumu yao ilikuwa kuwaua? Ni nani anapewa mamlaka ya kuua binadamu mwenzake? Kwanini wasingekamatwa na kufunguliwa mashtaka? Kanisa halijakosea linawaombea wapumzike kwa amani, hata wewe ukifa utaombewa. Usitake kulifunga kanisa kwa mawazo yako. Kila mtu ni wa MunguFriends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.
Well, how you do anything is how you do everything (Dante).
Hii ndiyo double standard ya Kanisa Katoliki ambayo, most of the time, imekuwa ikifanya, na hatimaye imegeuka kuwa ni kasumba na tabia.
Kanisa liache kuchimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha mwili nje.
Wale wengi wao walikuwa ni wahalifu ambao walitumia kigezo cha maandamano kuvunja mali za watu, za umma, na kutishia kuipindua serikali.
Mnapotangaza Misa ya kuombea wale wafu na kuacha kuwatamka waumini wenu wengine ambao hawana makosa yoyote, walioharibiwa mali zao, na ukizingatia nao ni watoaji wakubwa wa sadaka na fungu la kumi, haileti picha chanya.
Kanisa liache unafiki na lisimame kwenye ukweli, hata kama ni mchungu.
Hongera kwa serikali na majeshi yetu yote kwa kuzuia wahalifu na kurudisha nchi kwenye mstari, amani, na utii.
Kanisa lijiepushe na chokochoko.
Nyie Bakwata ombeeni walioibiwa na kuchomewa Mali zao.Tusichaguliane Cha kufanyaFriends and Our Enemies,

Ila nyie watu wa Imani Ile mna chuki sana aisee!Kanisa lilikuwa even chanzo cha genocide rwanda tunalifaham vizuri sana kwenye issue kama hizi,tutadeal nao bampa to bampa.
Wasijitoe ufaham na kuvaa upofu wa uhalifu uliofanywa na hao wafu wao.
Unapolaani kifo cha jambazi,usiache kukemea tabia mbaya ya ujambazi kwa waumini wako waliobakia na kuwaasa wasijiingize tena kwenye uhalifu kama huo.
Narudia tena, ww ni muisilam, kuna viongozi wengi sana wa kiisilamu waagize waombee petrol station na magari yaliyochomwa. Kanisa katoliki limeamua kuombea waliokufa. Ni vizuri ukaungana na viongozi wa kiisilamu kujua ni wapi kura 31m zilipotokea. Habari za Rwanda hazituhusu, na wala hazina mahusiano na hiki kilichoendelea hapa nchini.Kanisa lilikuwa even chanzo cha genocide rwanda tunalifaham vizuri sana kwenye issue kama hizi,tutadeal nao bampa to bampa.
Wasijitoe ufaham na kuvaa upofu wa uhalifu uliofanywa na hao wafu wao.
Unapolaani kifo cha jambazi,usiache kukemea tabia mbaya ya ujambazi kwa waumini wako waliobakia na kuwaasa wasijiingize tena kwenye uhalifu kama huo.
Nenda pale mwanza kiloleli karibu na kituo cha mafuta, utaona walivyovunja ATM na kituo hcho kilivyochomwa motoNiwekee ushahidi wa aliyeenda kuvunja ATM