Kanisa kenya limegeuka soko

Kanisa kenya limegeuka soko

Wakati mwingine huwa naogopa na kudhani kanisa lilishanyakuliwa halipo duniani tena imebaki giza tu watu wanajieendea hovyo kwa mambo yao. Mara chupi za upako, mara keki na sasa mikate. Injili feki zimekuwa nyingi mpaka inaogofya
Na bado tutaelewana tu tena wewe unatakiwa uende lile kanisa la viboko vya mgongoni ucharazwe na mchungaji mpaka akili ikukae sawa.
 
Na bado tutaelewana tu tena wewe unatakiwa uende lile kanisa la viboko vya mgongoni ucharazwe na mchungaji mpaka akili ikukae sawa.
sinaga mtindo wa kuingia ingia kwenye makanisa yenye injili za ajabuajabu. Utaanzaje kunicharaza viboko au kuninywesha maji na mafuta ya upako wa kujitungia?
 
Wakristo mnafeli wapi mbona mko hivi JAMANI nili mtakomboka kutoka katika dhulma hizi
Kwamba waislamu hakuna haya matapeli?

Mazinge na firdaus wanauza maji na mafuta ,mbona hamuwafanyi kitu
 
sinaga mtindo wa kuingia ingia kwenye makanisa yenye injili za ajabuajabu. Utaanzaje kunicharaza viboko au kuninywesha maji na mafuta ya upako wa kujitungia?
Sasa unajuaje kuwa hapa ni injili ya ajabu ajabu na hapa ni pa kweli?.
 
Na hao ukiwauliza kuhusu Yesu wanakwambia nini ? Nina uhakika ukiamua hakuna jambo ambalo katika Bible utakosa loophole ya kujitetea.., after all kumwaga bidhaa za watu ilikuwa so unChrist like, they guy who was always supposed to turn the other cheek;

Pia kama kuna maagano tofauti yaani la Kale.., Mara Jipya latest kuliko la Kale na vitu tofauti unasemaje hao jamaa wakikwambia kwamba kuna Agano tofauti wamepewa (kama kuna mtu aliweza kuambiwa / kuwa tested kwa kumtoa mwanae Kafara ingawa kuna Amri inasema usiue)

All in all kwenye mambo ya Imani kusema mwenzako anakosea iwapo wanaokwenda hawalazimishwi wala kuleta madhara kwa mtu baki.., basi sio ustaarabu kuanza kuhumu...
Mwanzilishi wa imani ya ukristo ni yesu mwenyewe na aliagiza kwamba kusifanyike biashara ndani ya nyumba ya ibada na akadiriki kumwaga bidhaa zao hii inaonyesha yesu alichukizwa na jambo hilo na hakuna andiko kwenye biblia linaloelekeza kufanya hivyo ni tamaa tu ya utajiri Kwa wachungaji wakisasa
 
Muanzilishi wa Imani ya Ukristo ni Yesu ? (Arguably kuna watakaokwambia Hapana.., Bali baada ya kifo cha Yesu watu waliokuwa na Tabia kama za Yesu na Wafuasi wake walianza kuitwa Wakristu, Pia kuna watakaokwambia kwamba Paulo kwa kuipeleka hii Imani ya watu wa sehemu ndogo mainstream hatuwezi kuacha kumtaja) Tangia enzi na enzi hata Kabla Yesu (i.e. Agano la Kale) kwa wayahudi walivyokuwa wanapokea kichapo walikuwa wanahadithiana kwamba atakuja mkombozi Messiah kuwakomboa na alivyokuja huyu ndio wakasema atakuwa ni huyu ingawa na wengine wakashangaa baada ya kusulubiwa na kichapo kuendelea Kwa Wakristu..., Ingawa all went well baada ya Constantine kusema ametokewa na hivyo kuokoka na kujipatia Jeshi la wa Kristo hivyo kuweza kuwashinda maadui zake....

Ingawa this is neither here nor there..., Kama Agano la Kale liliweza kubadilika baadhi ya vitu na Agano Jipya na kuna wengine wanasema kuna mpaka Latest Testament (Mormons) na zote hizo ni Imani za watu... Who are we to say Otherwise ?!!!

Nadhani nachotaka kusema ni kwamba ni Vema kila mtu akashika lake na kuwaachia wao ya kwao (So long as hatuingiliani kwenye maisha au kuleteana Kero) ; To each their Own...
 
Back
Top Bottom