Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

Vitu gani hivi unajaza jaza kwenye server za watu humu, utakua umeshikishwa ukuta hapo Buza unatiwa na wavaa makobaz wenzako.
Kama wewe unapigiliwa miti hapo kibera na machokoraa wenzako,hapo wivu umekushika
 
Huwa mnadhani wapelestina wote waislam,na kuegemea kwa Israel kwenye Vita hivi, Israel anaua wapelestina waislam na wakiristo
kwamba israel anaamka na kuua tu ? hamsemi kuwa huw mnaanza kuwashambulia waisrael ? nyiny ni sw kuua wengine ila kuuliwa sio sawa ? mnataka musababishe matatizo kwa wengine ima mjibiwa mnalalamika , achen uzezeta wenu
 
kwamba israel anaamka na kuua tu ? hamsemi kuwa huw mnaanza kuwashambulia waisrael ? nyiny ni sw kuua wengine ila kuuliwa sio sawa ? mnataka musababishe matatizo kwa wengine ima mjibiwa mnalalamika , achen uzezeta wenu
'nyinyi!'..mi mpalestina!?..ushakaa kwenye dini,utakua na uwezo kupambanua haki na batili katika hili!?..mi mnyamwezi wa tabora,mtanzania...wewe muisrael!?
 
Kwani si hata nguruwe ukizidiwa njaa unamla watafanyaje sasa
 
Si kuna kipindi Hamas walitaka kuripua hili Kanisa...!?
 
Hayo ya waislam hayanihusu, Nachojua Palestine wanapigania uhuru wao kama wanachofanya Ukraine au Tigray cha ajabu unatumia gia ya udini. Wewe mwenyewe umepost kuhusu uwepo wa makanisa Gaza at the same time unadai Palestine ni waislam tu? Pia unasahau hata Israel ni 30% Muslims.

Hii vita ina mambo mengi ila kama ni dini basi Hamas wasingeua waislam wenzao wanaoishi Israel.
 

Wacha kuzunguka zunguka kama digidigi huna msimamo wowote, mara ubwatuke humu ukitetea uislamu mara useme haukuhusu, hovyo sasa na mtapigwa mpaka siku mjue umuhimu wa kuishi na watu kwa amani, haiwezekani dini moja tu iwe kero kwa kila dini, mnazinguana na Mabudha, Wahindi, Wakristo n.k.
Mnaanzisha ugomvi ila mkipigwa mnaanza kulia lia kwamba mnaonewa.
 
Mkenya umesahau kufuta hiyo.
wakipewa chakula, wakashiba, wakatulia, hilo kanisa lazima walichome moto. ndicho walichofanya Lebanon, wakristo waliwapokea hivyohivyo, wakageuka kuwachinja. lakini hatutakiwi kulipiza baya kwa baya, Mungu ndiye atahukumu.
 
Hehehe!! Yaani mnakaribishwa kwa upendo kanisani halafu unasema ni chuki, halafu mlivyo mazombi ya hovyo mnaweza kulianzisha humo humo.
Sio waislamu rudia kusoma ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kuna mpuuzi kila post yeye ni chuki tu,sijui nani kamwambia palestina wapo waislam tu,,,Israel wamelipua Hospital ya kanisa huko imeua watu wasio na hatia, mipunguani huku Africa inashangilia utazani Israel wanaujal huo ukristo smh
 
Sio waislamu rudia kusoma ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Tafuta mtu akutafsirie maana ya hii sentensi "the Palestinian Muslim sought shelter in Gazaโ€™s oldest church."
Mtafundishwa upendo mpaka siku mtaelewa nini maana yake... Wakristo au dini zingine zote hutaka kuishi na nyie watu kwa amani lakini mlivyo, yaani ugomvi na fujo ni asili yenu....


View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM
 
Sio wale ulioleta jamaa kwa propaganda zako huwezi kuangusha Uislamu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kwani kuna shida hapo.
Walengwa unadhani ni Waislamu pekee, ngoja wawamalize waislam watahamia kwa Wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ