Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

askofu ana hekima na busara. Ingekuwa ni upande wenu msiokuwa na hekima na busara ya kuepusha madhara makubwa, mngeanza kuandamana hovyo kwa jazba zenu huku mkilipiza kisasi. Funika kombe mwanaharamu apite
Hapana ameongokopa kwanini afiche uovu haya tuletee hapa ushahidi wako

Nasio kumpakazia askofu uongo ina maana huna adabu na viongozi wako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
daima nitabaki kuona zaidi kuliko wewe. Hayo majibu si uhalisia hakuna mlevi anayeweza kufanya hayo kanisani labda mwendawazimu. Tungeambiwa ni mwendawazimu tungeamini. Mlevi hapana!
Wewe jamaa bure kabisa unasema na ku vitu kipumbavu kabisa ,kama mtu anakuja Mama yake Mzazi ,Baba yake ,Mtoto akiwa timamu na akili zake kea a nini ishindikane kuiba kanisani?

Juzi juzi tu rafiki yangu mkiristo kanihadithia mtu kanisani kwao muumini wa kabisa hilo kaiba 70K kwenye kapu la sadaka na CCTV camera imemnasa na alikuwa mzima na akili zake halafu wewe unakaza kichwa kuwa hata mlevi hawezi kufanya hivyo ni mwendawazimu tu ,hivi unawajua binadamu kweli? mimi nimeibiwa na nimeshuhudia msikitini waislamu wenyewe wakiwaibia watu na mali za msikitini.
 
unataka nikuambiaje lakini? Narudia tena, anayeweza kufanya hayo kwenye ibada ni mwendawazimu, case closed
 
Hapana ameongokopa kwanini afiche uovu haya tuletee hapa ushahidi wako

Nasio kumpakazia askofu uongo ina maana huna adabu na viongozi wako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
we jamaa unaijua vizuri dunia lakini? Mambo huwa hayaongozwi kwa jazba na mihemko. Hata mimi nimejifunza kumkabili adui bila kusababisha madhara. Hekima na busara ndio muongozo. Inatosha kusema ni mlevi ndiye kafanya uharibifu ule. Jifunze taarifa za majambazi kufanya shambulizi fulani halafu hao majambazi wawe wanajibizana mashambulizi na polisi. Ukiambiwa ni majambazi ridhika na jibu hilo halafu akili yako isiwaze kujua kama kweli hao ni majambazi
 
Mbon nimekuomba ushahidi mimi
Dunia ndio inatak tufiche uovu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkewangu mtarajiwa ,akisema mke mimi ni nani Mume nipinge ?
binti twende jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki tukachague mada huko tuichambue. Tuachane na hii mada, case closed
 
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.

=====
Askofu Flavian Kassala
Wapendwa, nawatangazia kuwa jimbo katoliki Geita tumepatwa mkasa mkubwa ambapo mtu mmoja amevamia kanisa kuu na kuvunja mlango mkuu na kisha kuanza kuharibu vitu vitakatifu, vikiwemo Tabernakulo na Ekaristi. Ni kufuru ya matakatifu.

Kavunja misalaba na mavazi ya misa. Nawaombeni mtumie vyombo vyenu vya habari ktk redio na television muupashe habari umma kuwa kitendo cha kudhalilisha imani yetu kimefanyika na tunakikemea na kukilaumu kwani kukaa kimya ni kama kuonesha hatuthamini imani yetu. Kwa wenye redio au tv, atakayehitaji "Audio" ya baba askofu, nitamtumia ili airushe na tuunganishe nguvu ya vyombo vya habari vya kanisa kukemea udhalimu dhidi ya imani katoliki.

Matukio ya uharibifu wa kanisa kuu la kiaskofu jimbo la Geita usiku wa kuamkia Jumapili trh 26 February 2023. Tukio limeripotiwa saa nane usiku. Uharibifu na kufuru zilizotokea ni kubwa sana. Mhusika amekamatwa. Mungu azidi kutulinda.
View attachment 2530803

======

Polisi watoa tamko kufuatia tukio la kuvunjwa kwa kanisa

Zaidi soma:
Polisi yasema aliyevunja Kanisa Katoliki na kuharibu Vitu Geita ni Muumini aliyekuwa amelewa!

IMG-20230302-WA0005.jpg

IMG-20230302-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom