Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo

Je msanifu wa cathedral atakuwa amefanya yule padri Rimisho msanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi.

 
Gothic architecture jipange.
Waliweza makanisa ya zamani sababu pesa zilitoka ulaya plus gharama za ujenzi zilikuwa chini.
Kama unajenga haya majengo ya kawaida tu gharama Sio kubwa.
 
Fungua uzi wako mkuu, acha kiherehere. Samaleko
Waleikhum salaam rahmatullaih wabarakhatul, Sheikh mawawa.

Sina haja ya kufungua Uzi kueleza dini ambazo tumeletewa na mzungu na mwarabu kifupi binadamu mweupe.

Binafsi kuhusu dini sipendi ubishani kwa sababu hauna tija na faida kwa nchi za afrika, ni utumwa Kama ule wa karne za awali.

Nimetoa hoja tu kuongezea Uzi kuwa wachangiaji wengi, kwa Imani nadhani umenielewa barabara.

😳 😳
 
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…