Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

Uzuri ni kwamba hakuna aliyewahi muona mungu,sasa nani anayejua jinsia yake? Dini zote ni man made,ndio mana zimewatenga na kuwanyanyapaa wanawake ili kumpa mwanaume superiority.
huyu ndio mungu wa wakirisito hata huyo ni mkirisito mwenzewa akimbusu
 
Kanisa Katoliki na Anglikana ndio makanisa ya kishetani yanayosambaza ushoga na kuueneza
 
Kmmmke,hii Kali kuliko,alafu juzi papa kasema LGBTQ wapokelewe kanisani. Wakati Yesu aliagiza kutengwa Kwa waovu Wasioacha dhambi walizoonywa Kwa mjibu wa maandiko.
 
papa huyu hapo anamuabdu mungu wenu
 
Uzuri ni kwamba hakuna aliyewahi muona mungu,sasa nani anayejua jinsia yake? Dini zote ni man made,ndio mana zimewatenga na kuwanyanyapaa wanawake ili kumpa mwanaume superiority.
Jinsia yake ni Mwanaume,KWA mujibu wa Biblia na hata Yesu mwenyewe
 
Betrand Russels- Why i am not a christian!
 
Uzuri ni kwamba hakuna aliyewahi muona mungu,sasa nani anayejua jinsia yake? Dini zote ni man made,ndio mana zimewatenga na kuwanyanyapaa wanawake ili kumpa mwanaume superiority.
Sio zote sema dini zenye chimbuko la Abraham,,,.........,maana mifumo yake ni ya ki "Patriarch " mifume dume ya enzi hizo, ikatengeneza dini pia.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…