Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

Ila wazinzi wabakaji na wahuni ruksa kuingia kanisani?acheni kudogosha dhambi dhambi ni dhambi.
 
Maji ukisha yavulia nguo, ni sharti uyaoge. Dini ni mchongo wa watu
 
Ila wazinzi wabakaji na wahuni ruksa kuingia kanisani?acheni kudogosha dhambi dhambi ni dhambi.
hao wanaenda kanisani hawawezi jitambulidha wazi kwamba wana hizo dhambi, wanaenda kuzitubu, kujutia kuzifanya na kujikumbusha njia waliyopo haipo sawa wafanye juhudi kuacha.

Sijawai ona kanjsa linabariki ubakaji
 
ni kweli kanasa alikupeleki mbinguni ila linakufundisha njia ya kwenda mbinguni ..asa kama limeluhusu ushoga ina maanisha limehasi maagizo ya MUNGU kama torati ilivyo agiza ..ko now linapotosha tuu watu wa Mungu
 
na kwa mtu anaye taka kwenda mbinguni aina aja ya kwenda kuabudu mahali walipo hasi
 
Kanisa Anglikana Tanzania limeshatoa msimamo muda mrefu kuhusu hili kwamba haliungi mkono
Ukisema kanisa la anglikana una maanisha lile la UINGEREZA.
Haya mengine ni matawi tu.

KANISA KUU LA ANGLICAN ambalo NDIO CHANZO CHA IMANI HIO YA ANGLICAN limeruhusu NDOA YA JINSIA MOJA. Hizo Branch zikipinga au zisipinge HAKUNA TOFAUTI YYT Mbele ya WAINGEREZA ambao ndio waanzilishi.


ASietaka USHOGA basi hana BUDI KUACHANA NA ANGLICAN NA ROMAN CATHOLIC.
ikiwa bado yumo humo lzm akubali USHOGA hana namna ingine.
 
Back
Top Bottom