jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ila wazinzi wabakaji na wahuni ruksa kuingia kanisani?acheni kudogosha dhambi dhambi ni dhambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao wanaenda kanisani hawawezi jitambulidha wazi kwamba wana hizo dhambi, wanaenda kuzitubu, kujutia kuzifanya na kujikumbusha njia waliyopo haipo sawa wafanye juhudi kuacha.Ila wazinzi wabakaji na wahuni ruksa kuingia kanisani?acheni kudogosha dhambi dhambi ni dhambi.
Ukisema kanisa la anglikana una maanisha lile la UINGEREZA.Kanisa Anglikana Tanzania limeshatoa msimamo muda mrefu kuhusu hili kwamba haliungi mkono