hao wanaenda kanisani hawawezi jitambulidha wazi kwamba wana hizo dhambi, wanaenda kuzitubu, kujutia kuzifanya na kujikumbusha njia waliyopo haipo sawa wafanye juhudi kuacha.
ni kweli kanasa alikupeleki mbinguni ila linakufundisha njia ya kwenda mbinguni ..asa kama limeluhusu ushoga ina maanisha limehasi maagizo ya MUNGU kama torati ilivyo agiza ..ko now linapotosha tuu watu wa Mungu
Ukisema kanisa la anglikana una maanisha lile la UINGEREZA.
Haya mengine ni matawi tu.
KANISA KUU LA ANGLICAN ambalo NDIO CHANZO CHA IMANI HIO YA ANGLICAN limeruhusu NDOA YA JINSIA MOJA. Hizo Branch zikipinga au zisipinge HAKUNA TOFAUTI YYT Mbele ya WAINGEREZA ambao ndio waanzilishi.
ASietaka USHOGA basi hana BUDI KUACHANA NA ANGLICAN NA ROMAN CATHOLIC.
ikiwa bado yumo humo lzm akubali USHOGA hana namna ingine.