Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,332
- 10,911
Mughonile!
kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba:
"Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma."
Nauliza, je Wakristo wamekosa umoja mpaka kanisa la ndugu yao linafungiwa kisa cha mchungaji mmoja aitwaye Gwajima?