Mazungumzo ya kumaliza hili suala diplomatically yalifanyika for 60 days huko Oman ila Ayatollah na genge lake wakaamua kuchomoa. That means hawapendi amani.Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana
Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize
Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa
Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia
Tuendelee kuombea aman ndugu zangu
God bless Israel
SAYUNI BOY
Inasikitisha sana mkuu πTUOMBEE AMANI kaka
Katika Kol 1:18 na Efe 1:22-23, tunaambiwa kuwa YESU NDIYE KICHWA CHA KANISA. Kwa maneno mengine, YESU NDIYE KIONGOZI MKUU WA KANISA. Yesu kabla hajapaa alizitaja dalili za kuja kwake na za mwisho wa dunia. Mojawapo ya dalili hizo ni vita na tetesi za vita, taifa kuondoka na kupigana na taifa jingine. Hivyo usimlaumu Papa, badala yake jiweke tayari kwa ujio wa Yesu. Yanayofanyika duniani leo ni ishara ya wazi kuwa Yesu amekaribia sana kuja kuwachukua watakatifu.Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana
Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize
Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa
Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia
Tuendelee kuombea aman ndugu zangu
God bless Israel
SAYUNI BOY
Kwahiyo wanasitahili kupigwa?Mazungumzo ya kumaliza hili suala diplomatically yalifanyika for 60 days huko Oman ila Ayatollah na genge lake wakaamua kuchomoa. That means hawapendi amani.
Unakumbuka hadi Mfalme wa Saudi Arabia alimtuma kipenzi chake mwanamfalme kumshawishi Ayatollah na genge lake walifikirie hili jambo na athari zake mara mbili ila kwa kiburi wakapuuza?
Thereafter there were no better options than what is happening now!
πππ Umefuatilia ata namna hii series ya ugomvi ilivoanza mpaka kumsikia Iran?? Au clip moja tu imekuinua Kwa mihemko kuja kutypeTumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana
Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize
Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa
Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia
Tuendelee kuombea aman ndugu zangu
God bless Israel
SAYUNI BOY
Toka lini nyinyi ISLAMISTS mkawapenda Wakristo? Acheni Taqqya yenu. Tumeisha wajuaga na uongo wenu nyinyi waabudu wa shetan. Tunachojua kwenye vita madara kama hayo hayakwepeki. But this time itawabidi badala ya kuamuka saa 11 alfajiri kumuomba allah wenu mumuamkie saa 9 usiku labda kama kweli ni kiumbe kinacho ishi atawasikiaTumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana
Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize
Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa
Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia
Tuendelee kuombea aman ndugu zangu
God bless Israel
SAYUNI BOY
Papa Leo sio Papa Fransisco, Juzi nyumbani kwao kule watu walikua wanapigwa mabomu ya machozi na maji ya kuwashawasha ulimuona kanyanyua mdomo wake kuongea?Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa
Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia
Iran ni masikini!Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana
Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize
Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa
Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia
Tuendelee kuombea aman ndugu zangu
God bless Israel
SAYUNI BOY
Who told you about meetings ,even omanis don't know what is going in close doorsMazungumzo ya kumaliza hili suala diplomatically yalifanyika for 60 days huko Oman ila Ayatollah na genge lake wakaamua kuchomoa. That means hawapendi amani.
Unakumbuka hadi Mfalme wa Saudi Arabia alimtuma kipenzi chake mwanamfalme kumshawishi Ayatollah na genge lake walifikirie hili jambo na athari zake mara mbili ila kwa kiburi wakapuuza?
Thereafter there were no better options than what is happening now!
Alikua sahihi si baada ya kushindwa kwa mazungumzo kwa siku 60 imeanza vita. Ninkweli no ishara ya kushindwa kwa wanadamuPope Francis aliwahi kusema vita ni ishara ya kushindwa kwa mwanadamu.
Aendelee kupumzika kwa amani.