Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Viongozi wa dini wengi watu wa ovyo ,kazi kujiona wasafi na kuhukumu wengine..Yani Huo ni ujinga sana, kijana anasema huyo mwanamke mpaka sasa, amekuwa kipofu, hapo inaonyesha ni namna gani huyo mwanamke anapitia shida,,( lakini wanaojiita viongozi wa dini wapo kukenua meno tu mbele ya waumini huku wakisubilia sadaka)
Kijana amesema, mke wake inaonekana wazazi wake walifanya maagano ya kichawi, inawezekana vipi wazazi hao hao waruhusu mtoto wao aolewe wakati wanajua kabisa wanamtumia kwenye mambo yao ya kibiashara ??... Hizi ni propaganda za wachungaji ππ
Kwa harakaharaka tu, kama huyo mwanamke angekuwa hana Uke, asingekubali kuolewa...Kabla ya kuoa au kuolewa yafuatayo ni muhimu!
1.Fanya utafiti kule unakooa au kuolewa! Tabia,magonjwa,nk
2.Pili vipimo vya afya ni muhimu
3.Viungo vizima,vipo havipo!
Miaka hii matatizo ni mengi sana.Na wanaume nao wasiingie kwenye ndoa kama mitambo yao ina kasoro na haifanyi kazi yake ya asili kama kawaida
Ni kweli mkuu wanaofungwa kichawi wapo, ila da hata uke haupo, Kwa upande wa mchungaji sasa anaudhi sana.mjomba wapo watoto wanaofungwa kichawi pia swala la ndoa nio baina ya watu wawili.
muhimu kusema mchungaji kataka public intension ila kazingua kinyama.
Ndo shida yao hiyo, kuvaa suti huku wamebeba kitabu cha dini, wanahisi wamemaliza kila kitu.Viongozi wa dini wengi watu wa ovyo ,kazi kujiona wasafi na kuhukumu wengine..
Niljua tnajionea video ya sehem yenyewe kumbe mchungaji asiekuwa na hekima.Tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za "No sex before marriage".
Simpingi mchungaji angeweza kuchagua namna nyingine kuvunja ndoa na kulinda utu wa mwanamke. Hapo kautangazia umma kuwa hayuko sawa kwa maumbile kitu ambacho yeye hakuchagua alizaliwa vile.Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu bibi harusi hana Uke wake.
Tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za "No sex before marriage".
Kuna jamii moja hapa Tanzania (kabila naweka kapuni) wanawake wanatabia ya kuvuta kile kisimi ile kiwe kirefu eti ndo ujanja/ swagg za huko
mchungaji anakwambia katundu kadogo sana.. alfu anacheeekaaππππHabari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu bibi harusi hana Uke wake.
Tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za "No sex before marriage".
sio kumdhalilisha tu kamuua kabisa maana kama mwepesi unaweza kujitundika kabisaa!Simpingi mchungaji angeweza kuchagua namna nyingine kuvunja ndoa na kulinda utu wa mwanamke. Hapo kautangazia umma kuwa hayuko sawa kwa maumbile kitu ambacho yeye hakuchagua alizaliwa vile.
Sasa huyo mama hatakanyaga tena kanisani na pia atahama mtaa
Soma post # 11Kivipi?
hivi kanisa lina uwezo wa kisheria na ki-theolojia kuvunja ndoa ?Simpingi mchungaji angeweza kuchagua namna nyingine kuvunja ndoa
Wanatoa recomendations au maelekezo kwenye chombo cha sheria iwapo mambo yanayostahili ndoa hayajafikiwa na wahusika wakakiri ni kweli.hivi kanisa lina uwezo wa kisheria na ki-theolojia kuvunja ndoa ?
ushahidi wa mwanamke kwenye shauri hili la ndoa uko wapi ?