Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Alafu mbele ya kadamnas ๐ฌ๐ฌ, dunia ya sasa Kila mtu amevurugwaMwanamke ana kitundu kidogo kabisaaa!๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mbele ya kadamnas ๐ฌ๐ฌ, dunia ya sasa Kila mtu amevurugwaMwanamke ana kitundu kidogo kabisaaa!๐๐๐๐
Mjinga sanaaAlafu mbele ya kadamnas ๐ฌ๐ฌ, dunia ya sasa Kila mtu amevurugwa
Hapa yabidi sasa tumuulize mchungaji, labda mahubiri ya Imani yalimkolea.Bibi harusi naye vipi,alikuwa anategemea miaujiza labda.
Ukiwa na busara unavunja ndoa "Kwa sababu zisizozuilika" sio kwasababu muolewaji hana uke, pastor kazinguaHabari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu bibi harusi hana Uke wake.
Tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za "No sex before marriage".
Kweli yenyewe huponyaNi matatizo ya kibaiolojia na hayatibiki kwa maombi...
Anyway maombi hayajawahi kutibu mtu
Anahamasish tu test mitambo.sio kijana tu vp huyo mwanamke kamuumza kisakilojia.Lazima mtambo utestiwe kabla, mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia hapana๐คญ
Ila huyu mchungaji ni kama anaona sifa vile mimi naona anamudhalilisha kijana, hakukua na haja ya kumuita public hivo asimulie na kutaka kanisa alilofungua hiyo ndoa๐ค
Pole yake sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shake well before use
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna dada analia kule mahakama ya temeke na yeye kauziwa joka la kibisa. Yaani mbuzi kwenye gunia.
Ndoa za kikristo bila kuonjana unaweza ukauziwa maajabu ya dunia
Hapa ndiyo mtaelewa maana ya kutest mitambo kabla ya kuutangazia ummaHabari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu bibi harusi hana Uke wake.
Tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za "No sex before marriage".
Worst mindset ever of the so called bishop, huyu alitakiwa kutumia uchungaji au uaskofu wake kumsaidia huyo binti anayepitia kipindi kigumu kwasababu na yeye hakupenda awe hivyolakini wanaojiita viongozi wa dini wapo kukenua meno tu mbele ya waumini huku wakisubilia sadaka