Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

Dunia na maajabu yake [emoji1745]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Kwahyo mchungaji anataka watu wafanye kwanza? Maana kauli yake eti kauziwa mbuzi kwny gunia...sio kauli ya kichungaji na ni kauli ya kibazazi...
 
Kwahyo mchungaji anataka watu wafanye kwanza? Maana kauli yake eti kauziwa mbuzi kwny gunia...sio kauli ya kichungaji na ni kauli ya kibazazi...

Kuna dada analia kule mahakama ya temeke na yeye kauziwa joka la kibisa. Yaani mbuzi kwenye gunia.

Ndoa za kikristo bila kuonjana unaweza ukauziwa maajabu ya dunia
 
huyu mchungaji anahitaji hekima ya kimungu sana, na kwa maneno yake haya aliyotamka na kusambaza, watu wengi sana watafanya uzinzi na kumwasi Mungu kwasababu yake, manake anawaasa vijana wafanyaje sasa? anaposema aliuziwa mbuzi kwenye gunia, anataka kusema vijana wawe wanatest kwanza kabla ya kutoa mahali? au anamaanisha nini? anaongea katika mwili au katika Roho?

Nawaasa vijana wa sasa, msimsikilize huyu mchungaji, kuzini kabla ya ndoa ni dhambi, ndio icho Biblia inaita "uasherati", na Biblia inasema waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu. sasa anataka wafanyeje? wawe wanaenda kwa daktari au wawe wanatuma mashangazi wakaangalie kabla ya mahali au wawe wanafanyeje ili kujua ana uke au la? na mbona anavyoongea anaongea kizinzizinzi sana? anategemea matokeo ya hayo anayoongea kwenye jamii iwe nini?

Ndugu zangu msidanganywe, mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi tu.

halafu katika jamii wanazofanya ukeketaji, yameshatokea mambo kama hayo, na watu huwa wanaenda hospitali wanasaidiwa na wanaendelea kuishi. kwa ukeketaji ule wa kufyeka sio clitoris pekee bali na mashavu, ukifyeka mtu akiwa bado mdogo/infant huwa kuna uwezekano pakaota kidonda kikubwa eneo hilo na kinapopona pakazibwa though kwa ndani panakuwa na vaginal opening, ukienda hospitali wanafanya operation wanaukuta uke na ataendelea kuenjoy tendo kama kawaida kwasababu kwa ndani kuna kuta za uke na kile kitu.
 
Walokole nyie ni matapeli na wanafki sana.
 
Ina maana hana dudu kabisaa?
 
Walokole nyie ni matapeli na wanafki sana.
tumekutapeli nini ndugu yangu? sema hapahapa.

Ninachokushauri ni hiki, Wokovu duniani upo, na watu waliookoka wapo meaning walokole tupo, ila yapo makanisa mengi tu yanayojinasibu kuwa ni ya kilokole ila ni kwasababu tu wanakuwa wamekosa kundi la kutambulika, wao sio walokole kabisa.

chukulia mfano, mitume na manabii wauza mafuta, maji na vitambaa. watu wengi huwa wanaamini hao ni walokole, lakini ukweli ni kwamba hao sio walokole na hata kwenye umoma wa makanisa ya kilokole hawapo, wapo kwenye umoja wao wa makanisa ya mitume na manabii. kwahiyo kama mimi ukinichanganya na mwamposa unanionea kwasababu imani yetu sio sawa naye. jambo lingine, inawezekana hata kwenye makanisa ya kilokole akatokea mchungaji aliyekengeuka in person, sote ni wanadamu huwa kunakuwa na kupanda na kushuka, kushuka na kupanda, wakati ule amekengeuka akafanya kimbwanga na watu kama wewe wakasema kwasababu mlokole huyu kakosea basi walokole wote ni wanafiki sana.

utafiti unaonyesha wengi huwa mnatutukana kuwa sisi ni wanafiki kwasababu ya infiriority complex, mnajijua kuwa hampo kwenye njia ya wokovu, mnaabudu msichokijua wala kukiona, mnatamani mgekuwa mnaabudu kwa kweli na mngetambulika kama mnaabudu kwa kweli lakini bahati mbaya hata nafsi zenu zinawasuta mnajijua mmepotea ila mnajikaza tu. kwasababu hiyo siku zote mmekuwa mkituchukia na kutuonea wivu wakati njia ya wokovu kwenu ipo wazi hamjakatazwa, fuateni wokovu msifuate dini na mapokeo ya babu zenu, dunia imeisha.
 
Muokozi mfu kwenye suala la ndoa aliwaacha kibabaishaji sana
 
Bibi harusi naye vipi,alikuwa anategemea miaujiza labda.
 
Wanatoa recomendations au maelekezo kwenye chombo cha sheria iwapo mambo yanayostahili ndoa hayajafikiwa na wahusika wakakiri ni kweli.

Uzinduzi wa Album Volume ngapi?
 
Bishanga Bashaija kakuta mambo haelewi kaona usinitanie mweitu.

Jamaa miyeyusho eti "nlikua tayari kuoa kwa namna yoyote ata kwa giza" mara mke kawa kipofu... content
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…