Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

Bibi harusi naye vipi,alikuwa anategemea miaujiza labda.
Hapa yabidi sasa tumuulize mchungaji, labda mahubiri ya Imani yalimkolea.

Kwani mtalaka wake anasemaje?
 
Ukiwa na busara unavunja ndoa "Kwa sababu zisizozuilika" sio kwasababu muolewaji hana uke, pastor kazingua
 
Lazima mtambo utestiwe kabla, mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia hapana🀭

Ila huyu mchungaji ni kama anaona sifa vile mimi naona anamudhalilisha kijana, hakukua na haja ya kumuita public hivo asimulie na kutaka kanisa alilofungua hiyo ndoaπŸ€”
 
Anahamasish tu test mitambo.sio kijana tu vp huyo mwanamke kamuumza kisakilojia.
 
Jmn kwani kitundu kidogo kinazuia uume kupita??
Si angetumia kirainishi sasa
Kuna wengine nyuchi zao ni ndogo na wana watoto
 
Kuna dada analia kule mahakama ya temeke na yeye kauziwa joka la kibisa. Yaani mbuzi kwenye gunia.

Ndoa za kikristo bila kuonjana unaweza ukauziwa maajabu ya dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa ndiyo mtaelewa maana ya kutest mitambo kabla ya kuutangazia umma
 
Huyu mchungaji kenge kabisa, anawezaje kumdhalilisha mtu hadharani na kucheka ulemavu wa mtu tena wa kuzaliwa nao
 
lakini wanaojiita viongozi wa dini wapo kukenua meno tu mbele ya waumini huku wakisubilia sadaka
Worst mindset ever of the so called bishop, huyu alitakiwa kutumia uchungaji au uaskofu wake kumsaidia huyo binti anayepitia kipindi kigumu kwasababu na yeye hakupenda awe hivyo
 
Halafu msambazaji wa hii habari ni mwanamke mwenye jina la Joyce Patofondo, sijui anajisikiaje mwanamke mwenzake akidhalilishwa namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…