Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow
Kanisa la KkKT ndani yake lina ubaguzi sana kuanzia kwenye jumiya mpaka kanisani ukaaji wake ndani ya kanisa kuna matabaka badala kanisa kuwafanya watu wawe wa moja badala yake linawatenga
Unakuta jumiiya ya inaitwa upend ndani yake wamejaa kimario tu na wote wanapesa tu na katika maamuzi hawa wasio nacho hawapewi nafasi ya kutoa maamuzi
Pia kwenye sadaka au mchango wanaanza kuwaita wale wenye pesa waseme watachangia bei gani then wataleta sanduku la sadaka wengine watoe
Hii tofauti kwa roma kama kuna mchango wataweka sanduku wote mtaenda kutoa pale iwe wa 200 au 10000 wote mtatoa pale na hakuna atakae jua kama umetoa 200 labda kama mkristu mmoja ameguswa sana ataenda ofisi ya paroko atatoa sadaka yake na kuficha jina na jumapili ijayo watatanga kuwa familia ya mkristo mmoja imetoa 200000 kwa ajiri ya mshumaa wa pasaka au msalaba ivyo lakini sio kimario ametoa 600000 hii inaleta ubaguzi
Wachungaji wao pia wanawatetemekea sana watu wenye pesa tofauti na roma mapadri wanaona waumin wote ni sawa uwe mwenye pesa au masikin wote sawa