Kanisa la KKKT kashfa ya ubaguzi ndani yake

Wengine wamekubaliana n iyo hali
 
Ushauri tu ishi maish yako dini iwe kigezo cha mwisho kupatana na muumba wako maadamu umeshajifunza na kuelewa jinsi ya kusali salia nyumbani kanisani nenda unapoona wewe inafaa dini ni uhuni, dini ni biashara, dini ni sehemu ya kushika watu kifikra, dini ni wizi , weee endelea kuumiza kichwa chako uku wengine wanafaidika kwa wingi wenu kanisani
 
Mimi nachopinga ni kile cha kuwatenga wengin kumbuka million aijakamilika kama hakuna 200
Wewe tambua tu, kama huna pesa/cheo/umaarufu wa kutosha basi umuhimu wako kwenye jamii unakuwa chini. Hii iko dunia nzima kwenye taasisi zote.

Tafuta pesa ili utambulike na kuthaminiwa.
 
Wewe tambua tu, kama huna pesa/cheo/umaarufu wa kutosha basi umuhimu wako kwenye jamii unakuwa chini. Hii iko dunia nzima kwenye taasisi zote.

Tafuta pesa ili utambulike na kuthaminiwa.
Wasio kuwa na pesa wana mawazo mazuri sana na michango yao iko poa
 
Sawa mkuu ila mm sikubalian na ubagui🤔
 
Ubaguzi lazima uwepo, wewe unataka ufanane na aliyetoa 100,000 na wakati umetoa 200? Lazima ujihisi umebaguliwa, machangizo ni tofauti na sadaka. Watu waliotoa machangizo kwenye biblia kimetajwa na kiasi walichotoa.
Acha mawazo potofu.
 
Ubaguzi lazima uwepo, wewe unataka ufanane na aliyetoa 100,000 na wakati umetoa 200? Lazima ujihisi umebaguliwa, machangizo ni tofauti na sadaka. Watu waliotoa machangizo kwenye biblia kimetajwa na kiasi walichotoa.
Acha mawazo potofu.
Mchango si sadak?
 
Lakin watu wanakaza fuv
Kama ilivyo hakuna mwanadamu mkamilifu wote wanamapungufu basi hakuna dini perfect ukienda kwa wakatolik wako mapadre wana kashfa ya kuwalawati watoto we unaona ndogo

Kuna kijana mkatoliki hakuzikwa kisa tu alikua haudhurii jumuiya ilibid azikwe na walokole
 
Mchango si sadak?
Kanisan hakuna mchango bali ni sadaka hata kwa Mungu anayetoa sadaka sana ananafasi kubwa kuliko yule ambaye hatoi au anatoa kidogo

Hata ukienda kwenye familia anayetoa zaid wazazi watampenda zaid, ukija kwenye jamii watoaji wakubwa wa maendeleo wanaheshima zaid ya wale ambao hawatoi kabisa au wanatoa kidogo

Sehemu yeyote ile kama hutoi au unatoa kidogo huwez pewa heshima kama yule anayetoa sana in short hekima ya maskin aisikilizwi
 
Mitazamo tu
 
Na huu ndio uhalisia !!
 
Mitazamo tu
Biblia inasema hekima ya maskin haisikilizwi mhubiri 9:16
Ukiwa maskin hakuna atakayekua na mda na wewe

Kuna siku Yesu walimfuata watu wakamwambia kuna mtu huwa anachangia sana kwenye sinagogi letu amepata shida msaidie na Yesu alimsaidia sababu yule mtu alikua ni msaada kwenye sinagogi

Nachoshangaa unapinga nin
 
Umeona wa KKKT wamelalamika? Au umekuja kuwasemea? Sadaka huambatana na baraka, kusema mtu sadaka aliyoitoa hakufanyi kuwa yeye ndo wa thamani sana kuliko wengine lkn Mungu anaweza kumbariki zaidi na huo ukawa ushududa wa moja kwa moja kwa wengine. Lakini pia kutoa siyo shilingi mia mbili au laki mbili, bali inategemea na uchaji ulioambatana na hiyo sadaka. Hiyo wewe unayoisema siyo KKKT ninayoijua mimi.
 
Hakumsaidia kwasababu ni msaada kwenye sinagogi bali yesu akuja kuleta mwanga na ndio maana akubagua tajir wala masikin alikuwa anawasaidia kulinga na mahitaji yao
 
Biblia inasema nasadaka yako iwe siri ata mkono wa pili usijue
 
Mkuu,

Nikiri wazi, mimi ni Mlutheri. Na kwa hakika sioni soni kujisemea na kuutetea Ulutheri wangu na hata kukosoa pale wanaapokosea.

Tuanze na swala la Jumuiya.
Jumuiya hazipangwi kwa makundi Mkuu. Bali kulingana na maeneo. Waumini wanaokaa karibu karibu hutengeneza jumuiya moja. Na wala siyo kwa minajili ya uwezo kiuchumi. Unaona hiyo jumuiya kuna matajiri tupu kwa sababu wamejenga eneo moja. Matajiri wana hulka ya kujenga mbali na Uswahilini.


Pili, swala la Michango wanafanya hivyo kwa kutoa motisha. Kama unataka waanze kufanya kwa usawa, tajiri akiambiwa atoe laki ni kidogo sana kwake. Wewe ukipewa mrabaha wa laki utatafutana. Hivyo wanafanya hivyo ili kupunguza mzigo kwa waumini wasiojiweza.

Lakini pia, Mungu anaangalia moyoni mwako wewe. Toa kile ulichojaliwa, usiangalie mwenzako katoa kiasi gani na kapewa nafasi mbele. Mungu atakubariki kulingana na ulichokitoa kuliko hata tajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…