dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Watu wanne wakiwa na chupa nne za bia huku zikiwa na mafuta ya petrol wakatupia ndan ya kanisa na kukimbia huku ikiwa waumini wake wakiwa katika maombi ya kujiandaa na semina ya injili wiki ijayo
---
Ni vijana wa nne walirusha chupa na taa ya chemli, baada ya kutupa ile taa ililipukia ndani, tena kwenye altare (madhabahu) na kulipuka. Ilikuwa ni saa 8 usiku, na kulkuwa na waumini ndani wakisali...
Baadhi ya vitu vimeungua ikiwemo BIBLIA takatifu na makapeti ya ndani.. Moto huo umezimwa na waumini baada ya taharuki kuisha... Ni kanisa la Kkt usharika wa segerea Dar es salaam...
Baada ya kuchoma kipindi cha nyuma makanisa naona wameanza tena mambo haya yasiyo na tija kwa Taifa..nilazima tuyapinge na kuyakataa mambo haya.. Wa Tanzania hatuna utamaduni huu.. LAKINI KWA NINI YAMEKUJA NA KUWA MENGI KWENYE AWAMU HII YA RAISI KIKWETE? kwanini miaka ya nyuma hatukusikia mambo kama haya?
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana