Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

Status
Not open for further replies.
Ni shoti ya umeme mleta mada amepotosha
Acha kupotosha watu,imerushwa itv,mchungaji wakiwa na waumini kanisan walisikia mlipuko mkubwa mbele madhabahu walipokimbilia wakakuta madhabahu inaungua uku kilichorushwa(chupa iliyo na utambi na petrol) kikionekana mbele ya kanisa wakat linateketea
 
hakuna ushirikiano kati ya macho yako, maskio na ubongo. Ujasiri wa kukimbilia moto tz unatoka wapi? Unawezekana? Ww ndio mpotoshaji ukisahau kuwa hata sisi tuna tv na tumeona
 
wamekosea ni short ya maji imechoma kanisa.
 
Kuna mtu kule Facebook kwenye group la wasafiri wa kwenda mbinguni alikuwa anawafundisha waislamu wenzake jinsi ya kutengeneza bomu la petrol kwa kutumia petrol, chupa na utambi atafutwe haraka. Post yake bado itakuwepo pale.
 
Kama Policcm wangeachana na CHADEMA na kuanza kufanya kazi zao kwa mujibu wa sharia, matukio kama haya yasingetokea. Waislamu na Wakristo tuungane kuiondoa CCM madarakani 2015, otherwise matunda ya Uhuru tutayasikia tuu

Eti madai yao wamekula kiapo tangu wakiwa CCP KUPAMBANA NA CDM na sio kupambana na wahalifu na majambazi yanayouwa watanzania na kupora mali zao.
 
hakuna ushirikiano kati ya macho yako, maskio na ubongo. Ujasiri wa kukimbilia moto tz unatoka wapi? Unawezekana? Ww ndio mpotoshaji ukisahau kuwa hata sisi tuna tv na tumeona

Naona majini yamekuzidia
 
hao ni wafuasi wa ponda na uamsho tu..
ndiyo mikakati wanayopanga kila siku.
ushahidi naomba vyombo usalama vitembeleee fb page za uamsho asili na marafiki wa radio imaan.

pia group la mujahidina hukohuko fb.
 
hakuna ushirikiano kati ya macho yako, maskio na ubongo. Ujasiri wa kukimbilia moto tz unatoka wapi? Unawezekana? Ww ndio mpotoshaji ukisahau kuwa hata sisi tuna tv na tumeona
Iyo tv ya manyaunyau nayo tv,hao walionekana wakikimbia yalikuwa majini,iyo shoti madhabauni umetokea wapi,bibli inatumia umeme mpaka ipige shoti nakuungua.,hayo majini yako peleka ukouko kwenu..
 
nimesikia mlinzi wa kanisa hilo anashikiliwa kwa uchunguzi zaidi dah chonde chonde tuvumiliane tusilipe kisasi kwa wasiostahili.
 
Ni vijana wa nne walirusha chupa na taa ya chemli, baada ya kutupa ile taa ililipukia ndani, tena kwenye altare (madhabahu) na kulipuka. Ilikuwa ni saa 8 usiku, na kulkuwa na waumini ndani wakisali...

Baadhi ya vitu vimeungua ikiwemo BIBLIA takatifu na makapeti ya ndani.. Moto huo umezimwa na waumini baada ya taharuki kuisha... Ni kanisa la Kkt usharika wa segerea Dar es salaam...

Baada ya kuchoma kipindi cha nyuma makanisa naona wameanza tena mambo haya yasiyo na tija kwa Taifa..nilazima tuyapinge na kuyakataa mambo haya.. Wa Tanzania hatuna utamaduni huu.. LAKINI KWA NINI YAMEKUJA NA KUWA MENGI KWENYE AWAMU HII YA RAISI KIKWETE? kwanini miaka ya nyuma hatukusikia mambo kama haya?

TAFAKURI UCHUKUE HATUA.
 
Kuna mtu kule Facebook kwenye group la wasafiri wa kwenda mbinguni alikuwa anawafundisha waislamu wenzake jinsi ya kutengeneza bomu la petrol kwa kutumia petrol, chupa na utambi atafutwe haraka. Post yake bado itakuwepo pale.

mkuu kafanye screenshot ya hiyo post tupate jina lake ili vyombo vya dola vimshughulikie. Binafsi niweshawaripoti watu kadhaa kutoka group la mujahidina huko fb
 
Hivi, ni kuwa polisi imeshindwa kabisa kukamata wale wa olasaiti? Kwa style hii, makanisa mengi sana yatachomwa moto maana wachomaji na walipuaji wanajua polisi hawawezi watafuta na sembuse kuwakamata, wanasubiri ushahidi wa ofisini.

Kipaumbele cha jeshi la polisi nchini ni kupambana na CDM HUO MDA WAKUTAFUTA WALIPUA MABOMU MAKANISANI HAWANA. Wangekua bize kupambana na wahalifu naamini hata askari feki wasingekuwepo.
 
nimesikia mlinzi wa kanisa hilo anashikiliwa kwa uchunguzi zaidi dah chonde chonde tuvumiliane tusilipe kisasi kwa wasiostahili.

hatuna utamaduni huo.
 
akili matope, kwann usihisi ni kugombea uongozi na mali esp sadaka

Just to correct u,sadaka ina utaratibu wake unaojulikana na kila muumini!kwenye makanisa haya matatu, Roman Catholic,Lutheran na Anglican ni vigumu sana kusikia watu wanagombea sadaka..au wewe unafahamu sehemu walipogombea sadaka?toa uthibitisho!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom