Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Yaani hauhitaji elimu ya chuo kuweza kujua ni nani anayehusika,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa watu wanamuabudu Mungu yupi anaependa shari kiasi hiki?
anaitwa nani?anatokea wapi?ulimwona wakati anafanya kitendo hicho?yaani hauhitaji elimu ya chuo kuweza kujua ni nani anayehusika,
Nyumba yetu haina baba.kila mtoto kaota mapembe anafanya vurugu anavyotaka.watanzania wenzangu turudishe heshima ya nyumba yetu 2015.tuwarudishe "viongozi" serikalini na sio "wafanyabiashara".
Kwani uwongo,wao ndio wachomaji wakuu,dini ya kijasusi...
Hii plan ya Jk kuhakikisha makanisa yanachomwa,Jk kahalalisha dini flani ichome makanisa..Muda sio mrefu wakristu watajibu..Mi maswali yangu ambayo ni magumu, ni kwa nini yanatokea kwenye hii serikali ya awamu ya nne? Kwa nini matukio haya hayakutokea kipindi kingine? Maswali haya hufanya moyo wangu kuwa na hasira sana...
Mwenyenzi MUNGU wewe ni mwingi kwetu wa Rehema Baba wetu wa Mbinguni.
BABA TULINDE SISI WAJA WAKO BWANA WA MAJESHI,SHUSHA MALAIKA WAKO MWENYENZI NA WATULINDE DAIMA, ninaenda kinyume kabisa na mwovu shetani kwani hana mamlaka juu yako Bwana wetu.
AMEN!
Na wewe kwa nini umejenga hisia hiyo???Hapo watu wamekwisha jenga hisia......dini fulani hiyo.
tekbir
Watu wanne wakiwa na chupa nne za bia huku zikiwa na mafuta ya petrol wakatupia ndan ya kanisa na kukimbia huku ikiwa waumini wake wakiwa katika maombi ya kujiandaa na semina ya injili wiki ijayo
Watu wa Ponda ao