Tunaweza tusiamini lakini ni kweli kwamba "HII CHEMBE YA AMANI ILIYOPO KATI YA WAISLAM NA WASIOKUA WAISLAM" basi ni baraka tu ya Bwana lakini si juhudi za waumini wenyewe!! Kwanini tunatuhumiana katika kila jambo? na kwa nini tunakurupuka baada ya kupata taarifa zenye utata kabla ya kupisha matokeo ya uchunguzi!! Kumbukeni kipindi cha milipuko isemwayo ilikua ya AL-QAEDA, baada la kila mlipuko watu waliamini ama atakua mwarabu, au msomali, lakini baadae ikaja kugundulika MIZUNGU NAYO IMO!! Hakuna haja ya kukashifiana imani zetu, patafutwe sababu ya matokeo haya na hatua stahili zichukuliwe huku jamii yetu ikiwa bado na upendo na umoja....