MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,006
Kipaumbele cha jeshi la polisi nchini ni kupambana na CDM HUO MDA WAKUTAFUTA WALIPUA MABOMU MAKANISANI HAWANA. Wangekua bize kupambana na wahalifu naamini hata askari feki wasingekuwepo.
Labda wanasubiri bomu lipigwe Ikulu ndo watafanya kazi yao kama ilivyokuwa kwa 'ze utamu'.
Polisi fanyeni kazi yenu.