Nadhani huu ndio mfumo kristo ambao wenzetu wanaulalamikia ndiyo maana yanaungua makanisa tu na si misikiti. Majaribu hayana hayana budi kuja lakini ole wake aletaye majaribu. Selikali yaangalieni mambo haya kwa jicho lenye darubini kali na kutafuta njia sahihi za kutatua matatizo haya kwa kuwa kunasiku moto utawashwa na asiwepo wa kuuzima. Mungu bariki Tanzania
Wengi tunaongea humu huenda hawajui propaganda. Je, kwanini wachomaji wakaamua kujaribu kuchoma Kanisa lenye waumini ndani na kuacha yale yaliyofungwa? Chombo kimoja cha habari kumesema kanisa lachomwa na kingine kikasema kanisa lanusurika kuchomwa maana yake nini?
Waislamu na wakirito hawana ugomvi kihivyo mitaani tuaishi kwa amaani kabisa. Mfumo kiristo upo na unaathari mbaya kwa ustawi wa taifa letu lakini wanaoelewa kwa usahihi jinsi ulivyo na jinsi unavyofanya kazi ni wachache sana.
Watanzainia tukiamua tunaweza kuutokomeza mfumo KIRISTO kwa kuyageuzia mgongo maelekezo ya wanaouendesha na kuuimarisha. Watu hao hawana ubavu wa kujitokeza hadharani na kuutetea kwani wanajua ni ubaguzi na haufai. Watu hawa ni waongo na hawamwogopi Mungu, ni wazushi na hawana maana. Kuwahusia waumini wasiwachague watu dini fulani maana yake nini? Je, dhehebu la dini fulani linapoitwa dini na rasimu ya katiba ikaweka kipengele hicho maana yake nini? Ni vyema madhehaebu ya dini yakabakia madhehabu tu na si dhehebu moja kujipa hadhi ya dini na kutumia mawakala wake sehemu mbalimbali kujipatia frusa zisizo sahihi.
Kionja ni pale rais baada ya uchaguzi anapoapishwa, badala ya kusomewa dua na makundi matatu husomewa na makundi 04, hili kundi la nne nani kaipandisha daraja? Limejipandisha lejewa, baisi naliomba lijishushe ili kuwa sawa na makundi mengine.