Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

Status
Not open for further replies.
Yaani hauhitaji elimu ya chuo kuweza kujua ni nani anayehusika,
 
By Mvaa Tai
Ninaichukia sana dini wanayoabudu,Bokoharam,Alshababu,Alqaid and the like

Hatushangazwi na wewe kuchukizwa na ndio maana ndugu zako wa magharibi waabudu shetani(freemason),wanahakikisha nchi zote ambazo wakazi wake kwa asilimia kubwa wapo katika iyo dini wanayoabudu the like hazikai kwa amani
 
Nyumba yetu haina baba.kila mtoto kaota mapembe anafanya vurugu anavyotaka.watanzania wenzangu turudishe heshima ya nyumba yetu 2015.tuwarudishe "viongozi" serikalini na sio "wafanyabiashara".

Baba yuko bize na porojo zakukata watu mapembe. Nasasa yuko dodoma kujadili mafisadi wa bukoba dhidi yawapenda maendeleo.
 
Mi maswali yangu ambayo ni magumu, ni kwa nini yanatokea kwenye hii serikali ya awamu ya nne? Kwa nini matukio haya hayakutokea kipindi kingine? Maswali haya hufanya moyo wangu kuwa na hasira sana...
Hii plan ya Jk kuhakikisha makanisa yanachomwa,Jk kahalalisha dini flani ichome makanisa..Muda sio mrefu wakristu watajibu..
 
Mwenyenzi MUNGU wewe ni mwingi kwetu wa Rehema Baba wetu wa Mbinguni.
BABA TULINDE SISI WAJA WAKO BWANA WA MAJESHI,SHUSHA MALAIKA WAKO MWENYENZI NA WATULINDE DAIMA, ninaenda kinyume kabisa na mwovu shetani kwani hana mamlaka juu yako Bwana wetu.

AMEN!

Haleluyah!
 
Kilakitu una fikiria wa islamu tu hao wanaotumia kanisa kufanyia biashara na kukushana sadaka na kuoneana choyo kwanini huwafikirii
 
Watu wanne wakiwa na chupa nne za bia huku zikiwa na mafuta ya petrol wakatupia ndan ya kanisa na kukimbia huku ikiwa waumini wake wakiwa katika maombi ya kujiandaa na semina ya injili wiki ijayo

kahtaan, kuna Quran nyingine imenyewa au kukojolewa tena?
 
Me nina wasi wasi na kagame wenda keshaanza kukichoma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom