Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kuumwa ni dharura na kanisa la wasabato linafundisha kuwa ni sahihi kushughulikia dharura siku ya Sabato kuokoa uhai wa mtu.Waafrika Sisi hizi dini zinatuharibu badala ya kutusaidia.
Akiumwa gafla mzee wassira Leo, madaktari waache kututibu Kwa sababu wapo sabato??
Mambugila ndio wanachukuliwa hatua.Hizo taasisi wanawachukulia hatua makanyaboya tu
Ova
Pia umesahau na like jambo la ulozi la kukumbatia MBUYU pale St. Peters darKwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika.
Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k
Mara kadhaa Mh. Wassira ameonekana kwenye majukwaa ya kisiasa siku ya Sabato lakini hakuna hatua yoyote iliyowahi kuchukuliwa dhidi yake na anaheshimika sana usabatoni.
Vijana wanaojichanganya kufanya kama wasira huchukuliwa hatua kali na kufutwa ushirika, na hulazimika kubatizwa upya ili kurudi kundini ila viongozi hawamwoni mzee Wassira.
Acheni hizo, huyu ni muumini wenu, ongeene naye. Pia ongeeni na Mafwele mwenye kashfa za utekaji maana nayeye anavunja kifungu namba 2, Ongeeni na Dr. Ryoba wa TBC nayeye anavunja hicho kifungu. Acheni kukimbizana na vijana wasio na pesa pekee.
View attachment 3436720
HahahaaaPia umesahau na like jambo la ulozi la kukumbatia MBUYU pale St. Peters dar
Ni hatari sana.Hushangai Malekana na Lekundayo wanampapatikia nakumkumbatia Masaju huyu mwenye wake wawili.ππππβ
Bado kuna watu wanaamini katika hizi dini za kuletewa!? Kweli mtu mweusi ndo tabaka la chini, duni na lisilojitambua duniani.Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika.
Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k
Mara kadhaa Mh. Wassira ameonekana kwenye majukwaa ya kisiasa siku ya Sabato lakini hakuna hatua yoyote iliyowahi kuchukuliwa dhidi yake na anaheshimika sana usabatoni.
Vijana wanaojichanganya kufanya kama wasira huchukuliwa hatua kali na kufutwa ushirika, na hulazimika kubatizwa upya ili kurudi kundini ila viongozi hawamwoni mzee Wassira.
Acheni hizo, huyu ni muumini wenu, ongeene naye. Pia ongeeni na Mafwele mwenye kashfa za utekaji maana nayeye anavunja kifungu namba 2, Ongeeni na Dr. Ryoba wa TBC nayeye anavunja hicho kifungu. Acheni kukimbizana na vijana wasio na pesa pekee.
View attachment 3436720
Wewe unaamini nini mkuu?Bado kuna watu wanaamini katika hizi dini za kuletewa!? Kweli mtu mweusi ndo tabaka la chini, duni na lisilojitambua duniani.