GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 6,316 Reaction score 9,390 Oct 25, 2026 #21 KANISA LA WASABATO MNATIA AIBU UNANUA GARI YA BEI KUBWA NAMNA HILO WAKATI VIJJNI MAKANISA MENGI NI YA NYASI?KWANN HUO UTUME UKAJENGE MAKANISA VIJJN? NDANI YA KANISA KUNA WAPIGAJI WENG SANA
KANISA LA WASABATO MNATIA AIBU UNANUA GARI YA BEI KUBWA NAMNA HILO WAKATI VIJJNI MAKANISA MENGI NI YA NYASI?KWANN HUO UTUME UKAJENGE MAKANISA VIJJN? NDANI YA KANISA KUNA WAPIGAJI WENG SANA
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 25, 2026 #22 Walipa kodi ni masikini tena kwa vitisha, matajiri hua husamehewa kodi... Cc: Mahondaw
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Oct 25, 2026 #23 Hiyo hela wangeenda hata kununua shamba la miti,au kujenga zahanati ama hospitali. Kesho likipata ajali milion 400 zinapotea hivyo hivyo..hopless kabisa
Hiyo hela wangeenda hata kununua shamba la miti,au kujenga zahanati ama hospitali. Kesho likipata ajali milion 400 zinapotea hivyo hivyo..hopless kabisa