[emoji2] unamwamini stephano??Yani unaona viongozi wanaua alafu unakaa kimya kisa hujihusishi na siasa, upumbavu
Kristu alianzisha Kanisa akamkabidhi Petro, naye baada ya kifo akawa anapata warithi... Sasa aliyepo ni huyu Francis. Umemezeshwa matango pori na yule Kahaba wa Kimarekani hata akili yako haifanyi kazi.Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
[emoji2][emoji2] Kwaio hapo ndipo mlipodanganywa kuwa ilo kanisa no kanisa katoliki
Soma biblia alafu uone kanisa gani petro alilianzisha.?
Petro alianziwha kanisa la mitume.
Ambalo baadae lilipingwa nakuuawa na roman.
Wakatubi wakaita makanisa majina ya mitume waliowaua ili dunia izani walitubu kweli.
Unajihusisha na kitu the very moment unapopata contact nacho. He did.Wapi alipojihusisha
Tatizo unalazimisha kumfanya kristo mwanasiasa
Ebu tuambie kristo alijihusishaje na siasa
Hao unaowataja wengine hata hawakuandika, inaonekana mtupu sana, anyway hizo nyaraka nyingine za Petro, ziko wapi au unajua mbili tu na kwanini ziliwekwa mbili tu ?Mmedanganywa biblia imetoka katoliki sio?
Mungu aliiandika biblia kupitia mikono ya watakatifu wake
Petro ,marko daudi, paulo.
Ila mkikaa kanisani mnadangangwa roman ndio walioandoka biblia .
Huyu wa ushoga ama.Kristu alianzisha Kanisa akamkabidhi Petro, naye baada ya kifo akawa anapata warithi... Sasa aliyepo ni huyu Francis. Umemezeshwa matango pori na yule Kahaba wa Kimarekani hata akili yako haifanyi kazi.
Nani hakuandika apo kati ya niliowataja?Hao unaowataja wengine hata hawakuandika, inaonekana mtupu sana, anyway hizo nyaraka nyingine za Petro, ziko wapi au unajua mbili tu na kwanini ziliwekwa mbili tu ?
Wapi alishiriki siasa si usemeUnajihusisha na kitu the very moment unapopata contact nacho. He did.
Hata humo pia Mungu hayupo ?Hamjachelewa bado njooni katika kanisa la kweli la Waadventista wasabato, tutakemea maovu daima na kuifuata kweli ndio nguzo yetu
Suala la kuikosoa serikali mnataka tugeuze madhabahu kuwa jukwaa la siasa??? Hapana, tutafanya uinjilishaji na kutangaza neno la Mungu kwani lengo letu ni kila mmoja aje kwa Yesu
Ni maarifa wa Mtume Petro.Huyu wa ushoga ama.
Huyu Francis anaingiaje kwenye urithi wa kanisa la Mungu ilhali yeye ni mpagani??
Amerithi vipi?
Mnarithishana aaf mnasema ni Mungu alimchagua kwa moshi mweupe??
Soma aya uliyoowekaWapi alishiriki siasa si useme
Maandiko yapo mengi ebu tuonyeshe.
Maarifa yapi ayo??Ni maarifa wa Mtume Petro.
Niliisoma ndomana nikaiweka apoSoma aya uliyooweka
Sasa viongozi wa dini wana kazi gani, au wao kuomba tu amani ikiwa wanajua viongozi wa serikali wanafanya machafuko au matendo ambayo sio sawa, rejea kuuwawa Kwa Yohana mbatizaji[emoji2] unamwamini stephano??
Na mitume je.?
Sio hao tuu na watakatifu wengi waliuwawa kwa siasa ambazo nyuma yake imesimama rumi.
Inamana stephano na mitume walikuwa wehu.
Sasa kama wao walikuwa wehu ni bora wehu wao kuliko akili zako
Sasa mkuu kama hao aliowataja hawakuandika biblia, je iliandikwa na akina nani.Hao unaowataja wengine hata hawakuandika, inaonekana mtupu sana, anyway hizo nyaraka nyingine za Petro, ziko wapi au unajua mbili tu na kwanini ziliwekwa mbili tu ?