goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
[emoji2] unamwamini stephano??Yani unaona viongozi wanaua alafu unakaa kimya kisa hujihusishi na siasa, upumbavu
Na mitume je.?
Sio hao tuu na watakatifu wengi waliuwawa kwa siasa ambazo nyuma yake imesimama rumi.
Inamana stephano na mitume walikuwa wehu.
Sasa kama wao walikuwa wehu ni bora wehu wao kuliko akili zako