Fungua uzi mwingine jikite kwenye mada kuu, kuacha wananchi wanateseka na kufa, na wewe kiongozi wa dini upo hauyasemi kisa hujihusishi na siasa.Niwaulize kwanini roman hawaamini kwenye uponyaji wakiungu.
Wakaweka kakikundi kadogo sijui charismatic wajaribu kuua soo....
Kanisa litawasahihisha kila mtu anapoenda nje ya nenoSasa viongozi wa dini wana kazi gani, au wao kuomba tu amani ikiwa wanajua viongozi wa serikali wanafanya machafuko au matendo ambayo sio sawa, rejea kuuwawa Kwa Yohana mbatizaji...
Bado mada kuu ni katoliki.Fungua uzi mwingine jikite kwenye mada kuu, kuacha wananchi wanateseka na kufa, na wewe kiongozi wa dini upo hauyasemi kisa hujihusishi na siasa.
Ni unafiki tu, utaeneza vipi imani ikiwa wananchi wanateseka ?Kwann inabidi wakosoe watu in first place?
Wasabato wadeal na imani yao na kueneza imani yao, wasiingilie serikali kama chama cha siasa au kukosoa RC mana wao hawawahusu
usinihukumu mimi sio mroman na siwatetei waromanKukosia sio kuhukumu.
Ufunuo wa Yohana 3:19
[19]Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.
Sasa ww unadhani mungu atashuka akuambie kwa upepo wakisulisuli.
Yeye hutumia binadamu kukusahihisha.
Ukiona unanafasi yakusahihishwa na Mungu basi jua ungali anakupenda
Ila ukiona hakuambii kitu basi alishakizira.
Waebrania 12:5-6
[5]tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi kama kusema na wana,
Mwanangu, usiyadharau marudia ya Bwana,
Wala usizimie moyo ukikemewa naye;
[6]Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi,
Naye humpiga kila mwana amkubaliye.
Tatizo mnatetea ukatoliki kuliko biblia mnayodai mnaiamini
Mungu hajawahi kutumia dhehebuusinihukumu mimi sio mroman na siwatetei waroman
na msabato akikosoa sio Mungu aliyekosoa
Kanisa litawasahihisha kila mtu anapoenda nje ya neno
Herode alikemewa kwkauchukua mke wa mtu,
Yohana aliuwawa sinkwa sababu ya kumkosoa herode ila yule mwanamke alimwambia binti yake achague kichwa cha yohana.
Sio kwenda kupiga kelel za maji,ama umeme ama bara bara.
Io sio kazi ya kanisa
Hivi unajua kwa nini hii dunia inabidi iangamizwe yote??Ni unafiki tu, utaeneza vipi imani ikiwa wananchi wanateseka ?
Hats Yesu alihubiri lakini pale ambapo watu walikuwa na njaa aliwapa chakula na ndio kuhubiri
Sasa mtu unang'ang'ana uhubiri wakati unaowahubiria wapo kwenye mateso na wewe huwasemei si ujinga huo
Mkuu, dunia ni kubwa, huwez fanya kila kitu, lazima kuwe na professionals na mipaka yake,Ni unafiki tu, utaeneza vipi imani ikiwa wananchi wanateseka ?
Hats Yesu alihubiri lakini pale ambapo watu walikuwa na njaa aliwapa chakula na ndio kuhubiri
Sasa mtu unang'ang'ana uhubiri wakati unaowahubiria wapo kwenye mateso na wewe huwasemei si ujinga huo
Haki zipi unazoziongelea??Unaona sasa hujamuelewa mtoa mada, yeye anasema nyinyi wasabato hamsemi ukweli pale serikali inapokosea na ndiyo maana yake ya kujihusisha na siasa.
Huoni viongozi wa kanisa katoliki wakisema ukweli pale ambapo serikali inapominya haki za wananchi ?
Ni lini kanisa katoliki lilipiga kelele kuhusu maji, barabara, umeme
Nahisi una mental retardation, na hii inasababishwa na serikali kutowajali raia wake wapo kwenye umasikini, watoto wanazaliwa hawapati mlo kamili matokeo yake ndio hayaBado mada kuu ni katoliki.
Sijaenda nje ya mada
Naweza nikawa namaisha mazuri kukuzidi.Nahisi una mental retardation, na hii inasababishwa na serikali kutowajali raia wake wapo kwenye umasikini, watoto wanazaliwa hawapati mlo kamili matokeo yake ndio haya
Mada sio kuhusu ukatoliki tu bali na siasa na wasabato ambapo wapo kimya kwenye siasa
Yesu hakuwahi kujihusisha na siasa
Hata akawaambia wayahudi 'ya Kaisari ambaye ni mwanasiasa mwachie Kaisari na Mungu muachie Mungu'
Labda ungeniambia Eliya ambaye alipambana na Ahabu
Hao mafarisayo ndio wanafiki wa yesuSoma
Luka 13:31-32
Kabisa
Kanisa la kweli halijawah kupata haki kutoka serikali.
Ukianzia kanisa la yesu hata la mitume.
Na hata kanisa la kweli lililopingwa na katoliki kiasi cha kuwaua
Mungu hajawahi kubariki siasa
Na wala hatakaa awahi
Siasa ni michezo michafu yote.
Uongo,fitina na uzushi,mauaji na kila baya unalilojua.
Siasa iporadhi ikubali uchafu wajinsia moja na mengineyo .
Mungu kamwee hatakaa ajiingize
Na wala kanisa la kweli la Mungu halitakaa kamwee lijihusishe.
Kwanza kanisa la kweli linachefukwa na siasa
Unajua maana ya neno kanisa??Yesu hakuwahi kuwa na kanisa wala hajawahi kuingia Kanisani.
Yesu kaingia kwenye hekalu na kwenye masinagogi
Y