Kanisa la Wasabato Mnapaswa Mkosoe maovu ya serikali zaidi kuliko kukosoa wenzenu wa Roman Catholic

Kanisa la Wasabato Mnapaswa Mkosoe maovu ya serikali zaidi kuliko kukosoa wenzenu wa Roman Catholic

Niwaulize kwanini roman hawaamini kwenye uponyaji wakiungu.
Wakaweka kakikundi kadogo sijui charismatic wajaribu kuua soo....
Fungua uzi mwingine jikite kwenye mada kuu, kuacha wananchi wanateseka na kufa, na wewe kiongozi wa dini upo hauyasemi kisa hujihusishi na siasa.
 
Sasa viongozi wa dini wana kazi gani, au wao kuomba tu amani ikiwa wanajua viongozi wa serikali wanafanya machafuko au matendo ambayo sio sawa, rejea kuuwawa Kwa Yohana mbatizaji...
Kanisa litawasahihisha kila mtu anapoenda nje ya neno

Herode alikemewa kwkauchukua mke wa mtu,

Yohana aliuwawa sinkwa sababu ya kumkosoa herode ila yule mwanamke alimwambia binti yake achague kichwa cha yohana.

Sio kwenda kupiga kelel za maji,ama umeme ama bara bara.

Io sio kazi ya kanisa
 
Fungua uzi mwingine jikite kwenye mada kuu, kuacha wananchi wanateseka na kufa, na wewe kiongozi wa dini upo hauyasemi kisa hujihusishi na siasa.
Bado mada kuu ni katoliki.
Sijaenda nje ya mada
 
Kwann inabidi wakosoe watu in first place?
Wasabato wadeal na imani yao na kueneza imani yao, wasiingilie serikali kama chama cha siasa au kukosoa RC mana wao hawawahusu
Ni unafiki tu, utaeneza vipi imani ikiwa wananchi wanateseka ?

Hats Yesu alihubiri lakini pale ambapo watu walikuwa na njaa aliwapa chakula na ndio kuhubiri

Sasa mtu unang'ang'ana uhubiri wakati unaowahubiria wapo kwenye mateso na wewe huwasemei si ujinga huo
 
Kukosia sio kuhukumu.

Ufunuo wa Yohana 3:19
[19]Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.

Sasa ww unadhani mungu atashuka akuambie kwa upepo wakisulisuli.
Yeye hutumia binadamu kukusahihisha.

Ukiona unanafasi yakusahihishwa na Mungu basi jua ungali anakupenda
Ila ukiona hakuambii kitu basi alishakizira.

Waebrania 12:5-6
[5]tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi kama kusema na wana,
Mwanangu, usiyadharau marudia ya Bwana,
Wala usizimie moyo ukikemewa naye;

[6]Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi,
Naye humpiga kila mwana amkubaliye.

Tatizo mnatetea ukatoliki kuliko biblia mnayodai mnaiamini
usinihukumu mimi sio mroman na siwatetei waroman

na msabato akikosoa sio Mungu aliyekosoa
 
Amna dhehebu hata moja ambalo limesimama na neno.
Kama unataka kuamini weka apa dhehebu moja moja uone
Hao wasabato wenyewe ndio wamefungwa na mambo ya wazi kabisa kwenye biblia wanayafanya na kuyashika
Na mengine wakiyakataa ambayo Mungu aliyabariki
 
usinihukumu mimi sio mroman na siwatetei waroman

na msabato akikosoa sio Mungu aliyekosoa
Mungu hajawahi kutumia dhehebu
Mungu daima ametumia mtu mmoja mmoja kama spika yake.
Kwaio sio roman wala sabato wala lolote lile ambalo Mungu atatumia.
Angalia kwenye biblia nzima utaona mungu huinua mtu mmoja tena mda mwngi hata hawajasoma
Ila ndo anawatumia
 
Kanisa litawasahihisha kila mtu anapoenda nje ya neno
Herode alikemewa kwkauchukua mke wa mtu,
Yohana aliuwawa sinkwa sababu ya kumkosoa herode ila yule mwanamke alimwambia binti yake achague kichwa cha yohana.

Sio kwenda kupiga kelel za maji,ama umeme ama bara bara.
Io sio kazi ya kanisa

Unaona sasa hujamuelewa mtoa mada, yeye anasema nyinyi wasabato hamsemi ukweli pale serikali inapokosea na ndiyo maana yake ya kujihusisha na siasa.

Huoni viongozi wa kanisa katoliki wakisema ukweli pale ambapo serikali inapominya haki za wananchi ?

Ni lini kanisa katoliki lilipiga kelele kuhusu maji, barabara, umeme
 
Ni unafiki tu, utaeneza vipi imani ikiwa wananchi wanateseka ?

Hats Yesu alihubiri lakini pale ambapo watu walikuwa na njaa aliwapa chakula na ndio kuhubiri

Sasa mtu unang'ang'ana uhubiri wakati unaowahubiria wapo kwenye mateso na wewe huwasemei si ujinga huo
Hivi unajua kwa nini hii dunia inabidi iangamizwe yote??
Dunia sio sehem salama kwa wana wa Mungu.
Inabidi iundwe mpya kwa ajili yao tuu.
Yesu alisema mtateseka kuliko mimi.
Yani yale yake ni madogo kwa kanisa yatakayoyapitia.
Kanisa la kweli limeteseka miaka yote na hata sasa lipo na linateseka
Ukiona kanisa linakula maisha basi jua ilo silo alilolizungumzia kristo
 
Ni unafiki tu, utaeneza vipi imani ikiwa wananchi wanateseka ?

Hats Yesu alihubiri lakini pale ambapo watu walikuwa na njaa aliwapa chakula na ndio kuhubiri

Sasa mtu unang'ang'ana uhubiri wakati unaowahubiria wapo kwenye mateso na wewe huwasemei si ujinga huo
Mkuu, dunia ni kubwa, huwez fanya kila kitu, lazima kuwe na professionals na mipaka yake,

Huwezi sema kila mtu atumie platform yake kuisema serikali, itakuwa ni ovyo sasa, mtoa mahubiri ahubiri neno la bwana, kuna watu kibao wapo kwenye siasa from grassroot level mpaka national level, waache wafanye kazi yao,

Masuala ya kugeuza dini kama sehemu ya siasa mwisho tutaishia kuchaguana kwa dini, baadae tutumbukie kubaya,

Unataka kuwa mwanasiasa ingia siasani,

Baadae mtasema mbona madaktari hawakosoi serikali
 
Unaona sasa hujamuelewa mtoa mada, yeye anasema nyinyi wasabato hamsemi ukweli pale serikali inapokosea na ndiyo maana yake ya kujihusisha na siasa.

Huoni viongozi wa kanisa katoliki wakisema ukweli pale ambapo serikali inapominya haki za wananchi ?

Ni lini kanisa katoliki lilipiga kelele kuhusu maji, barabara, umeme
Haki zipi unazoziongelea??
Madini ama nini??
Yote hayo si kazi ya kanisa
Ama unasema mikataba??
Kanisa la kweli linatambua mkataba mmoja tuu ambao liliingia nakristo na wala si bwana wake mwngine.
 
Bado mada kuu ni katoliki.
Sijaenda nje ya mada
Nahisi una mental retardation, na hii inasababishwa na serikali kutowajali raia wake wapo kwenye umasikini, watoto wanazaliwa hawapati mlo kamili matokeo yake ndio haya

Mada sio kuhusu ukatoliki tu bali na siasa na wasabato ambapo wapo kimya kwenye siasa
 
Naweza nikawa namaisha mazuri kukuzidi.
Na wazazi wangu pia wanaweza wakawa na maisha mazuri kukuzidi.
Chakula na maisha ni taka taka ata hvyo mwisho wa siku
Ila.kama nayoyasema ni neno la Mungu,usitoe jasho kupingana nayo
 
Katolikia na aya mabinti zake
Wamijihusisha sana na siasa mpaka wamekubali ushoga na uchafu mwingine wa siasa ili kwenda nayo sawa.
 
Mungu hajawahi kubariki siasa
Na wala hatakaa awahi
Siasa ni michezo michafu yote.
Uongo,fitina na uzushi,mauaji na kila baya unalilojua.
Siasa iporadhi ikubali uchafu wajinsia moja na mengineyo .
Mungu kamwee hatakaa ajiingize
Na wala kanisa la kweli la Mungu halitakaa kamwee lijihusishe.
Kwanza kanisa la kweli linachefukwa na siasa
 
Kabisa
Kanisa la kweli halijawah kupata haki kutoka serikali.
Ukianzia kanisa la yesu hata la mitume.
Na hata kanisa la kweli lililopingwa na katoliki kiasi cha kuwaua

Yesu hakuwahi kuwa na kanisa wala hajawahi kuingia Kanisani.
Yesu kaingia kwenye hekalu na kwenye masinagogi
Y
 
Mungu hajawahi kubariki siasa
Na wala hatakaa awahi
Siasa ni michezo michafu yote.
Uongo,fitina na uzushi,mauaji na kila baya unalilojua.
Siasa iporadhi ikubali uchafu wajinsia moja na mengineyo .
Mungu kamwee hatakaa ajiingize
Na wala kanisa la kweli la Mungu halitakaa kamwee lijihusishe.
Kwanza kanisa la kweli linachefukwa na siasa

Mungu mwenyewe ni mwanasiasa.
alimpa mwanadamu jukumu lake la kwanza ni siasa. Ndio maana akamuambia nendeni mkatawale.
Unapozungumzia utawala unazungumzia siasa.

Au elimu ya siasa hauna mzee
 
Yesu hakuwahi kuwa na kanisa wala hajawahi kuingia Kanisani.
Yesu kaingia kwenye hekalu na kwenye masinagogi
Y
Unajua maana ya neno kanisa??
Kanisa maana yake ni walioitwa watoke.
Yesu alikuwa nakanisa lake dogo la watu 12
Mwanzo.
Ama ulitaka liwe ni jengo ili ulitambue kuwa ni kanisa
 
Back
Top Bottom