Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kwanza walikusudia kabisa Kumuua Padre Kitima .
Walipoona wameshindwa , Genge la Wauaji hili kupitia Polisi wakaanzisha Kampeni chinichini ya Kudhoofisha, Kudhalilisha ,kuvunja Umoja ,Kuleta Mpasuko Ndani ya KANISA na Hatima yake ni WAUMINI wa kikatoliki kutofuata Maelekezo ya Viongozi.
Embu jiulizeni..
Kwanini Huyu Padre ,amekutwa Mashambani, hapohapo Wakiwa na Vyombo vya habari, hapohapo Polisi wanasema wamemuhoji , Hoja zao zikiwa zile zile
Alikua anakimbia Madeni ...
Ameachwa na Mpenzi...
Alijiteka ...
Kanisa Lisirudi nyuma, mliposhikilia kazeni zaidi hapohapo .
Ninawaamini bahati nzuri Huwa Hamkai Kimya, MSIUKALIE KIMYA UOVU KWA NAMNA YOYOTE.
Hawa watu Kwa Sasa Wana Roho za Kiuaji, hawana namna nyingine ya kutumia Busara na Hekima!!.
Kwetu sisi Wakristo, Maombi pekee Kwa Mungu bila Juhudi zetu zingine ningumu sana kuwaondoa Hawa watu !!.
KANISA LIAMKE, KANISA LI ACTIVATE MFUMO WAKE WA KIUTENDAJI KATIKA KULINDA MASILAHI YA KANISA NA NCHI!!.