Kanisa liamke, kanisa li activate mfumo wake wa kiutendaji katika kulinda masilahi ya kanisa na nchi!!

Kanisa liamke, kanisa li activate mfumo wake wa kiutendaji katika kulinda masilahi ya kanisa na nchi!!

Eti jamaa kahonga zaidi ya M30,na bado akatoswa! Mapadri wanatibiwa na Kanisa, lakini tunaambiwa, kakosa matibabu, kwa kukosa fedha, kwani fedha zake zote kahonga!
Ni udharirishaji uliovuka mipaka!
Ukimskiliza yule kamanda wa polisi aliyekuja kuudanganya uma jana, anaonekana kabisa ni mbwiga mmoja ambaye hajui chochote kuhusu maisha ya viongozi wetu wa RC, na ndio maana hata uongo wake umeishia kuivua nguo serikali na kila mwenye akili timamu ameishia kuwashangaa tu hao police..!!

Hawajui hata kutunga uongo mbwa wale, hakika tumepatikana kuongozwa na hawa vilaza.
 
Ni ujinga sana sana unaoendelea. Nafikiri wanamtafutia waumini mtu wao Mwamposa.

Kuna "wajinga na wapumbavu" wakatoliki kabisa tena wengine viongozi kwa ngazi ya jumuia na parokia ambao ni wanachama wa CCM kwa masikio yangu nimewasikia wanaunga mkono kinachoendela eti kwa utetezi kwamba "kwanini viongozi wa dini na wao wanampinga Samia?"

Wanakotupeleka watatusababishia tuanze kuchukia sisi kwa sisi, yaani unakuta ndugu yako au rafiki yako ni wale kila kinachosemwa na kufanywa na serikali na ccm yao wao wanaunga mkono bila kutumia akili. Hawa lazima mtagombana tu hata kama ni ndugu wa damu. Huu ndio mpango uliopo

Sitegemei kuona mapolisi wakienda kanisani leo au viongozi wa serikali kama yule waziri Bashungwa. Nadhani wanatakiwa wakae nyumbani kwa aibu hii au watafute sehemu nyingine ya kwenda. Na naamini hata wao wenyewe nafsi zinawasuta na huenda wakasita kwenda kanisani kwasababu kuu mbili;
1. Aibu kwa wanayoyafanya
2. Kujishitukia kwamba wakubwa wao watawaonaje. Hawajui kama ni mpango wa kuliteketeza kanisa

Naamini viongozi wetu muda si mrefu wata clear the air na kuweka mambo sawa. Askofu wa mwanza ameanza jana, tunamsubiri wa Songea naye tumsikie
Nina maumivu makali sana ndugu yangu acha tu.

Ninachokiona hapa kuna propaganda maalumu imeanzishwa kwa ajili ya kulichafua kanisa Katoliki hili kuliondolea ushawishi mkubwa lilionao kwenye jamii yetu maana litaonekana linaongozwa na wahuni.

Na haya matukio ya mapadri kutekwa kisha baadae kuachiwa huku wakilishwa maneno ya kashifa na ya kidhalilishaji ni mwanzo tu wa utekezaji wa propaganda hiyo...

...Tutegemee kuona zaidi ya haya kadri siku zinavyokwenda, haya matukio yanafanyika kwa maelekezo maalumu kutoka kwa maafisa wa TISS wa ngazi za juu ambao wengi ni akina Mohamed,Abdallah.. n.k kutoka Zanzibar.

Kuna minong'ono ya chini chini kutoka kwa hao wapumbavu wasiokuwa na elimu sahihi kuwa eti kanisa letu linahamasisha uhasi kisa raisi aliyepo madarakani sio wa imani yetu....

....Hivyo upo uwezekano mkubwa sana kama maandamano yatatokea na yakaleta maafa, basi hawa wajinga lawama zao zote watalitupia kanisa letu na hasa baada ya kuwa wameshalichafua na limepoteza imani kwa watu.

Kuhusu wakatoliki wanaoiunga mkono serikali kwa huu unyama wanaofanyiwa viongozi wetu akina Father Kitima na Camillius...

....acha tu wana ccm hao wakatoliki waendelee kutafunwa na pepo la ubinafsi wakiamini maslahi yao binafsi ni bora kuliko kusimamia haki... ila wakae wakijua kama kuna taasisi ambayo Samia anaichukia hapa nchini basi ni kanisa letu na hasa TEC, na pia hiyo ccm yenyewe wamiliki wake wa sasa ni wazanzibar watu ambao wanauchukia sana ukristo hasa ukatoliki.
 
Daah...Mungu akurehemu shetani mkubwa na kibaraka wa Ibilisi wewe usiyekuwa na hata chembe ya akili wala haya.

Nina huwakika 100% huna uwezo wa kunipa uthibitisho wa hizi tuhuma na kashifa za kipumbavu ulizoandika hapa, obvious huu ni upumbavu ambao umelishwa na wana propaganda wenzio ambao wanachiki za muda mrefu na kanisa letu.

Eti Kaniaa Katoliki ndio lilianzisha utekaji, lilimteka nan? Unaweza ukamtaja hata mtu mmoja? Mse.nge kweli wewe, hauna tofauti na yule msemaji wa polisi aliyetoa taarifa jana.

Kuhusu huruma, wala hata hatuhitaji huruma ya mtu mwenye vinasaba vya kishetani kama wewe, hiyo huruma peleka kwa wazazi wako maana walizaa mtoto mwenye laana bila ya wao kujua, si ajabu hata wao pia watakuwa walilaaniwa kwenye makuzi yao, na ndio maana hiyo laana imetembea mpaka imefika kwako mpumbav wewe.
Mwl Nyerere ni zao lao aliesimamia Transition ya tanganyika kuwa tanzania!

Viongozi wakubwa wote Wana baraka ya kanisa katoliki kabla ya kushika uongozi!

Katiba ya zamani iliyopo yenye kumpa mamlaka rais ni zao la Nyerere na kanisa katoliki!Tatizo la chma kimoja kukaa madarakani muda mrefu bila kuwepo upinzani Lina baraka ya kanisa katoliki!!

Maajent wote wa usalama was taifa na viongozi wengi unaowaona Hadi kina kikwete walisomea mission (seminari) za kanisa !huwezi tofautisha serikali za awamu zote bila baraka za kanisa hili kubwa!!

Huwezi tenganisha harakati za kisiasa na serikali yetu na nguvu ya kanisa katoliki!!

Labda kama umezaliwa juzi !lakini kama ni msomi was muda mrefu utajua nguvu ya kanisa Tanzania na Kwa nafasi Yao kubwa wangesaidia kuondoa uchafu uliopo Sasa lakini kwakua walikua wafaidika was sera za katiba mbovu hawakuona umuhimu wake Hadi walipoanza na wao kutekwa na kuumizwa majuzi ndio na wao wakaanza kudai reforms!!

Kanisa lilikua na nafasi kubwa Sana ya kushauri na kuwasaidia viongozi was awamu zilizopita na kupata katiba mpya lakini walikaa kimya hadi wakati huu wa mateso na wao ndio wanakumbuka mageuzi na it's too late!!

Soma Tena utanielewa!!
 
Na hii iwe ni kwa makanisa yote tu. Sijui kwa nini waumini wa makanisa hawaoni hatari mbele yao na wakaungana dhidi ya dhalimu huyu wa sasa. Mbona iko wazi kabisa kuwa hali ya viongozi wa makanisa ni mbaya sana
 
Mwl Nyerere ni zao lao aliesimamia Transition ya tanganyika kuwa tanzania!

Viongozi wakubwa wote Wana baraka ya kanisa katoliki kabla ya kushika uongozi!

Katiba ya zamani iliyopo yenye kumpa mamlaka rais ni zao la Nyerere na kanisa katoliki!Tatizo la chma kimoja kukaa madarakani muda mrefu bila kuwepo upinzani Lina baraka ya kanisa katoliki!!

Maajent wote wa usalama was taifa na viongozi wengi unaowaona Hadi kina kikwete walisomea mission (seminari) za kanisa !huwezi tofautisha serikali za awamu zote bila baraka za kanisa hili kubwa!!

Huwezi tenganisha harakati za kisiasa na serikali yetu na nguvu ya kanisa katoliki!!

Labda kama umezaliwa juzi !lakini kama ni msomi was muda mrefu utajua nguvu ya kanisa Tanzania na Kwa nafasi Yao kubwa wangesaidia kuondoa uchafu uliopo Sasa lakini kwakua walikua wafaidika was sera za katiba mbovu hawakuona umuhimu wake Hadi walipoanza na wao kutekwa na kuumizwa majuzi ndio na wao wakaanza kudai reforms!!

Kanisa lilikua na nafasi kubwa Sana ya kushauri na kuwasaidia viongozi was awamu zilizopita na kupata katiba mpya lakini walikaa kimya hadi wakati huu wa mateso na wao ndio wanakumbuka mageuzi na it's too late!!

Soma Tena utanielewa!!
Unachojaribu kusema hapa ni kwamba wewe umemlea na kumsomesha mtoto wako wako kwa kulima bangi, ukitegemea mtoto wako huyo atakuja kukusaidia mbeleni..

...badala yake akaja kuwa mvuta bangi wa kutupwa asiyekuwa na msaada wowote, sasa wewe kwa uwendowazimu wako eti unaanza tatizo sio mtoto wangu bali tatizo ni mimi mwenyewe nilimlea kwa msaada wa bangi na kumuona mwanao hana makosa.

Kuilaumu taasisi ya RC kwa mambo yanayoendelea nchini ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Kanisa halijabariki huu ukatili unaoufanyika mjinga wewe, wala kanisa halijawahi kupinga sula la katiba mpya.

Unavyowasilisha hoja hapa ni kama vile kanisa ndio kikwazo cha kupatikana kwa katiba mpya.

Kanisa kutoa huduma ya kielimu sio sababu ya kutaka kuwa control watu matakwa na malengo yao kisiasa.

Ulichokiandika hapa ni kashifa na chuki binafsi za kipumbavu ambazo hazimuingii akilini binadamu yoyote aliyetimilifu.

Na kama unaona hii vita aliyoianzisha samia anatukomesha, unajidanganya...in long run anajikomesha yeye mwenyewe na serikali yake
 
You can't stop the Revolution but you can stop the protest...
 
Back
Top Bottom