Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kanisa linadhalilishwa Kwa kiwango Cha juu sana .Hawa UVCCM wabeba bunduki wanalishalilisha Kanisa katoliki
Wanacheza na moto, kuanza kugusa Imani ya watu ni kosa kubwa sana.wahuni kwa tamaa zao za madaraka ya kulazimisha wanataka kuharibu amani ya nchi.
Inasikitisha sana hadi inatia hasira kwa huu udhalilishaji unaoendelea kwa viongozi wa dini na kanisa katoliki la mitume kwa ujumla.Kwanza walikusudia kabisa Kumuua Padre Kitima .
Walipoona wameshindwa , Genge la Wauaji hili kupitia Polisi wakaanzisha Kampeni chinichini ya Kudhoofisha, Kudhalilisha ,kuvunja Umoja ,Kuleta Mpasuko Ndani ya KANISA na Hatima yake ni WAUMINI wa kikatoliki kutofuata Maelekezo ya Viongozi.
Embu jiulizeni..
Kwanini Huyu Padre ,amekutwa Mashambani, hapohapo Wakiwa na Vyombo vya habari, hapohapo Polisi wanasema wamemuhoji , Hoja zao zikiwa zile zile
Alikua anakimbia Madeni ...
Ameachwa na Mpenzi...
Alijiteka ...
Kanisa Lisirudi nyuma, mliposhikilia kazeni zaidi hapohapo .
Ninawaamini bahati nzuri Huwa Hamkai Kimya, MSIUKALIE KIMYA UOVU KWA NAMNA YOYOTE.
Hawa watu Kwa Sasa Wana Roho za Kiuaji, hawana namna nyingine ya kutumia Busara na Hekima!!.
Kwetu sisi Wakristo, Maombi pekee Kwa Mungu bila Juhudi zetu zingine ningumu sana kuwaondoa Hawa watu !!.
KANISA LIAMKE, KANISA LI ACTIVATE MFUMO WAKE WA KIUTENDAJI KATIKA KULINDA MASILAHI YA KANISA NA NCHI!!.
Ni ujinga sana sana unaoendelea. Nafikiri wanamtafutia waumini mtu wao Mwamposa.Kiukweli mimi kama kijana wa kikatoliki ninaumia sana kwa huu udhalilishaji tunaofanyiwa na serikali ya hii ya ccm ya samia...
Leo nimekutana na mwanajumuiya mwenzangu eti na yeye anaamini kabisa Father Camillius alikuwa amejiteka.. daah, niliumia sana kwakweli maana hawa wajinga adhima yao inataka kutimia, ambayo ni sisi waumini kupoteza imani kwa viongozi wetu.
Hivi hii serikali ya shetani samia anatutakia nini lakini?
Maneno kama "kimad"..."kujiteka".. aisee yanaumiza sana na hasa ukiangalia wadhifa wa watu wanaohusishwa nayo.
Yaan kabisa maccm yalikaa yakakosa uongo mwingine wa kuja nao ambao utakuwa una mantiki wakaona waje na hili la "kujiteka"??.. kwamna awamu hii watu wanajiteka kisha wanaenda kujitupa maporini wakiwa hoi bin taabani? Aisee huyu mama moto atakaochomwa ni mkali sana.
Nafikiri ni muda sasa wa kanisa langu kuonesha nguvu na makali liliyonayo.
Ni muda sasa wa kuonesha kanisa letu ndii taasisi yenye nguvu kuliko taasisi zote duniani...
..hii serikali ya Tanzagiza inayoongozwa na mwendiwazimu Samia ni ndogo sana kulinganisha na nguvu tuliyonayo, ni muda wa kuionesha hiyo nguvu sasa, Samia na serikali yake tayari yuko vitani na kanisa letu akitumia vyombo vyake vya dola vilivyojaa maform four failures.
Raha ya milele iwe pia nawe.
Eti jamaa kahonga zaidi ya M30,na bado akatoswa! Mapadri wanatibiwa na Kanisa, lakini tunaambiwa, kakosa matibabu, kwa kukosa fedha, kwani fedha zake zote kahonga!Hawa UVCCM wabeba bunduki wanalishalilisha Kanisa katoliki
Ni ngumu sana kushindana na DOLAKwanza walikusudia kabisa Kumuua Padre Kitima .
Walipoona wameshindwa , Genge la Wauaji hili kupitia Polisi wakaanzisha Kampeni chinichini ya Kudhoofisha, Kudhalilisha ,kuvunja Umoja ,Kuleta Mpasuko Ndani ya KANISA na Hatima yake ni WAUMINI wa kikatoliki kutofuata Maelekezo ya Viongozi.
Embu jiulizeni..
Kwanini Huyu Padre ,amekutwa Mashambani, hapohapo Wakiwa na Vyombo vya habari, hapohapo Polisi wanasema wamemuhoji , Hoja zao zikiwa zile zile
Alikua anakimbia Madeni ...
Ameachwa na Mpenzi...
Alijiteka ...
Kanisa Lisirudi nyuma, mliposhikilia kazeni zaidi hapohapo .
Ninawaamini bahati nzuri Huwa Hamkai Kimya, MSIUKALIE KIMYA UOVU KWA NAMNA YOYOTE.
Hawa watu Kwa Sasa Wana Roho za Kiuaji, hawana namna nyingine ya kutumia Busara na Hekima!!.
Kwetu sisi Wakristo, Maombi pekee Kwa Mungu bila Juhudi zetu zingine ningumu sana kuwaondoa Hawa watu !!.
KANISA LIAMKE, KANISA LI ACTIVATE MFUMO WAKE WA KIUTENDAJI KATIKA KULINDA MASILAHI YA KANISA NA NCHI!!.
Huu ni ukweli sio udhalilishaji..Nina rafiki yangu ni padre lakini suala la mademu ni kama maji kwenye mwili...halafu hana demu mmojaKanisa linadhalilishwa Kwa kiwango Cha juu sana .
Kanisa lisifumbue macho Huu uhuni
Daah...Mungu akurehemu shetani mkubwa na kibaraka wa Ibilisi wewe usiyekuwa na hata chembe ya akili wala haya.Kanisa hasta katoliki ndio Lina mchango mkubwa Santa wa siasa zetu Kwa muda mrefu!!
Wakati wakinywa wine na viongozi waliokua upande wao hawaiukumbuka katiba mpya wala Tanzania ijauo zaidi ya bahasha na tafrija za mvinyo na viongozi waliotoka mikononi mwao Tena wakiwa na influence Hadi bakwata!!
Sasa Leo wanatekwa wao wanalia Lia Nini wakati wao ndio waliomlea alietuletea katiba mbovu na Wala hawakuona umuhimu was mabadiliko has kipindi Cha mkapa walau wangesaidia!!
Kwakweli kama ni kanisa hilo siwaonei huruma kabisa!nawaonea huruma chadema na wanaccm wazalendo wanaopotezwa lakini sio kanisa katoliki!!
Wao ndio waliomlea nyerere!wao ndio waanzlishi was utekaji nchini kupitia malezi ya wanamageuzi was mwanzo ambao wao ndio walipokea vingi Toka kwao!!
Mapadri na maaskofu was kikatoliki wanapaswa kuwa was kwanza kutekwa coz ndio kanisa lenye ushawishi mkubwa Kwa siasa zetu lakini hawakutumia ushawishi wao kwenye Rule of law na katiba mpya yenye kuwajibisha viongozi ambao wamewalea wenyewe!!