Kanisa liamke, kanisa li activate mfumo wake wa kiutendaji katika kulinda masilahi ya kanisa na nchi!!

Eti jamaa kahonga zaidi ya M30,na bado akatoswa! Mapadri wanatibiwa na Kanisa, lakini tunaambiwa, kakosa matibabu, kwa kukosa fedha, kwani fedha zake zote kahonga!
Ni udharirishaji uliovuka mipaka!
Ukimskiliza yule kamanda wa polisi aliyekuja kuudanganya uma jana, anaonekana kabisa ni mbwiga mmoja ambaye hajui chochote kuhusu maisha ya viongozi wetu wa RC, na ndio maana hata uongo wake umeishia kuivua nguo serikali na kila mwenye akili timamu ameishia kuwashangaa tu hao police..!!

Hawajui hata kutunga uongo mbwa wale, hakika tumepatikana kuongozwa na hawa vilaza.
 
Nina maumivu makali sana ndugu yangu acha tu.

Ninachokiona hapa kuna propaganda maalumu imeanzishwa kwa ajili ya kulichafua kanisa Katoliki hili kuliondolea ushawishi mkubwa lilionao kwenye jamii yetu maana litaonekana linaongozwa na wahuni.

Na haya matukio ya mapadri kutekwa kisha baadae kuachiwa huku wakilishwa maneno ya kashifa na ya kidhalilishaji ni mwanzo tu wa utekezaji wa propaganda hiyo...

...Tutegemee kuona zaidi ya haya kadri siku zinavyokwenda, haya matukio yanafanyika kwa maelekezo maalumu kutoka kwa maafisa wa TISS wa ngazi za juu ambao wengi ni akina Mohamed,Abdallah.. n.k kutoka Zanzibar.

Kuna minong'ono ya chini chini kutoka kwa hao wapumbavu wasiokuwa na elimu sahihi kuwa eti kanisa letu linahamasisha uhasi kisa raisi aliyepo madarakani sio wa imani yetu....

....Hivyo upo uwezekano mkubwa sana kama maandamano yatatokea na yakaleta maafa, basi hawa wajinga lawama zao zote watalitupia kanisa letu na hasa baada ya kuwa wameshalichafua na limepoteza imani kwa watu.

Kuhusu wakatoliki wanaoiunga mkono serikali kwa huu unyama wanaofanyiwa viongozi wetu akina Father Kitima na Camillius...

....acha tu wana ccm hao wakatoliki waendelee kutafunwa na pepo la ubinafsi wakiamini maslahi yao binafsi ni bora kuliko kusimamia haki... ila wakae wakijua kama kuna taasisi ambayo Samia anaichukia hapa nchini basi ni kanisa letu na hasa TEC, na pia hiyo ccm yenyewe wamiliki wake wa sasa ni wazanzibar watu ambao wanauchukia sana ukristo hasa ukatoliki.
 
Mwl Nyerere ni zao lao aliesimamia Transition ya tanganyika kuwa tanzania!

Viongozi wakubwa wote Wana baraka ya kanisa katoliki kabla ya kushika uongozi!

Katiba ya zamani iliyopo yenye kumpa mamlaka rais ni zao la Nyerere na kanisa katoliki!Tatizo la chma kimoja kukaa madarakani muda mrefu bila kuwepo upinzani Lina baraka ya kanisa katoliki!!

Maajent wote wa usalama was taifa na viongozi wengi unaowaona Hadi kina kikwete walisomea mission (seminari) za kanisa !huwezi tofautisha serikali za awamu zote bila baraka za kanisa hili kubwa!!

Huwezi tenganisha harakati za kisiasa na serikali yetu na nguvu ya kanisa katoliki!!

Labda kama umezaliwa juzi !lakini kama ni msomi was muda mrefu utajua nguvu ya kanisa Tanzania na Kwa nafasi Yao kubwa wangesaidia kuondoa uchafu uliopo Sasa lakini kwakua walikua wafaidika was sera za katiba mbovu hawakuona umuhimu wake Hadi walipoanza na wao kutekwa na kuumizwa majuzi ndio na wao wakaanza kudai reforms!!

Kanisa lilikua na nafasi kubwa Sana ya kushauri na kuwasaidia viongozi was awamu zilizopita na kupata katiba mpya lakini walikaa kimya hadi wakati huu wa mateso na wao ndio wanakumbuka mageuzi na it's too late!!

Soma Tena utanielewa!!
 
Na hii iwe ni kwa makanisa yote tu. Sijui kwa nini waumini wa makanisa hawaoni hatari mbele yao na wakaungana dhidi ya dhalimu huyu wa sasa. Mbona iko wazi kabisa kuwa hali ya viongozi wa makanisa ni mbaya sana
 
Unachojaribu kusema hapa ni kwamba wewe umemlea na kumsomesha mtoto wako wako kwa kulima bangi, ukitegemea mtoto wako huyo atakuja kukusaidia mbeleni..

...badala yake akaja kuwa mvuta bangi wa kutupwa asiyekuwa na msaada wowote, sasa wewe kwa uwendowazimu wako eti unaanza tatizo sio mtoto wangu bali tatizo ni mimi mwenyewe nilimlea kwa msaada wa bangi na kumuona mwanao hana makosa.

Kuilaumu taasisi ya RC kwa mambo yanayoendelea nchini ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Kanisa halijabariki huu ukatili unaoufanyika mjinga wewe, wala kanisa halijawahi kupinga sula la katiba mpya.

Unavyowasilisha hoja hapa ni kama vile kanisa ndio kikwazo cha kupatikana kwa katiba mpya.

Kanisa kutoa huduma ya kielimu sio sababu ya kutaka kuwa control watu matakwa na malengo yao kisiasa.

Ulichokiandika hapa ni kashifa na chuki binafsi za kipumbavu ambazo hazimuingii akilini binadamu yoyote aliyetimilifu.

Na kama unaona hii vita aliyoianzisha samia anatukomesha, unajidanganya...in long run anajikomesha yeye mwenyewe na serikali yake
 
You can't stop the Revolution but you can stop the protest...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…