Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

Acha Udini wako hapa.
 
Kwa kweli kususia uchaguzi ndiyo sahihi. Ni jambo lisolokuwa la mantiko kwa sisi wenye Imani ya ukristo kwenda kupiga kura kwani hiyo itakuwa sawa na ufalme unaojiangamiza wenyewe. Hatuwezi mpigia kura mpingakristo. Tunahitaji uhuru wa kuabudu, wakristo wote tudai uhuru wa kuabudu ambao umekosekana kwa baadhi yetu
 
Uhuru wa kuabudu hapa Nchini ni wakutosha kabisa. Ndio maana makanisa na misikiti inafunguliwa kila leo.
 
Mkuu
Lucas umenihakikishia kwamba, October tuta tick lakini sio kwa huyo anaeruhusu kanisa kuvunjwa na kukataza ibada!!

Najiandaa ku tick lakini kwa mwingine tu!

KAZI na utu tunasonga mbele!!
 
Naliona anguko kuu la mtu, kiburi chake kinakwenda kumdondosha vibaya mno haitajalisha ana nguvu ama mamlaka kiasi gani.
kusema ukweli mimi simwombei jema lolote, kwa sababu namwona ni adui wa Ukristo Tanzania, waumini wa gwajima nchini ni milioni nyingi tu, makanisa zaidi ya 2000 through out the country halafu rais wa dini nyingine tena asiye mtanganyika anabariki kufutwa kwa kanisa watu wote hao wakose haki ya kuabudu kwa sababu tu ya kosa la mtu mmoja (gwajima) kama kweli lipo (though hata kosa lenyewe halipo). unaadhibi mamilioni ya watu kwa sababu ya mtu mmoja, au kwa sababu sio wa dini yako?
 
 
Leo mbona husemi mama anatosha ? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…