Huyu ni dikteta haswa na mdini kupita kiasiSamia atakuwa kiongozi wa kwanza Duniani kupambana na Makanisa na akayashinda
Huyu shetani kabubujikwa na machozi ya furaha kanisa kuvunjwaUmefurahia kanisa kuvunjwa? Una laana Wewe
Huyu ana laana sio bureHuyu shetani kabubujikwa na machozi ya furaha kanisa kuvunjwa
Hata ukoo wake wamemtengaHuyu ana laana sio bure
Uzuri ni kuwa mwaka 2070 wite watakuwa wamelala makaburiniNdugu zangu Watanzania,
Soma hapo 👉Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) lililopo Ubungo Kibo Jijini Dar es salaam ambalo kwa Wiki tatu limetumiwa na Waumini wa KKAM na Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima kufanya Ibada, limevunjwa na kubomolewa kabisa ambapo Mwandishi wa @AyoTV_, Bakari Chijumba amefika katika eneo hilo asubuhi hii leo July 13,2025 na kujionea pakiwa pamevunjwa kabisa na hakuna Muumini yoyote huku Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Itakumbukwa Jumapili iliyopita Jeshi la Polisi liliimairisha ulinzi pia katika eneo kubwa la Ubungo ikiwemo kuzingira Kanisa hilo wakati Waumini wakifanya Ibada hatua ambayo ilijiri baada ya Jeshi hilo kuta onyo kwa kundi la Watu ambao walikuwa wakitokea KKAM na mabango baada ya ibada wakidai haki yao ya kuabudu kufuatia kufungwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima hivyo kupelekea Waumini kutawanywa kwa mabomu kwa Wiki mbili mfululizo huku Waumini wengine wakikamatwa akiwemo Mchungaji wa Kanisa la KKAM.
Waumini kwa Kanisa la Gwajima kwa zaidi ya Wiki mbili walijumuika na Waumini wa KKAM Usharika wa Ubungo Kibo ambalo ni Kanisa rafiki na lililo jirani na Kanisa lao lililofungwa ambapo kwenye Ibada ya ya Jumapili iliyopita miongoni mwa waliohudhuria ni Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Akofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu Askofu Mwanamapinduzi ambaye aliwasihi Waumini kutobeba mabango wala kufanya vurugu huku akiwaomba Polisi kutorusha mabovu kauli ambayo ilizaa matunda na Ibada ikakamilika kukiwa na usalama Waumini wakarejea makwao bila kupigwa na Polisi.
Bado haijajulikana sababu ya Kanisa kuvunjwa na aliyevunja lakini Majirani wa eneo hilo wanasema limevunjwa juzi Ijumaa.. tunaendelea kufuatilia kujua wanapofanyia Ibada Waumini wa Gwajima na wa KKM na tutakujuza >> youtu.be/PhTgm6FGIbg?si…View attachment 3404279
Alikemea utekaji, uuaji na ufilaji.sababu ya kulivunja ni ipi ?
Naona kuna mtu anajitia kidole yeye mwenyeweNdugu zangu Watanzania,

sababu ya kulivunja ni ipi ?
Kuna wengine ukituchapa kofi hatugeuzi shavu la pili.Angekuwa gwajima ndio sheikh sipati picha raisi angeenda kuvunja msikiti anaoswalisha huyo sheikh.
Ni kama mstari fulani unapokwenda sio pazuri.
Ondoa ujinga wako hapa weweUmefurahia kanisa kuvunjwa? Una laana Wewe
Anzisha kanisa lako ndio uweke Masharti unayoyataka weweNinawashangaa sana viongozi wa kanisa lolote wanaowaalika viongozi wa serikali hii kama wageni rasmi katika shughuli za kanisa, mnatia mashaka sana na mnatia aibu!
Wewe utakuwa wapi?Uzuri ni kuwa mwaka 2070 wite watakuwa wamelala makaburini
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja. Wewe kaa pembeni na Makopo yako.Hata ukoo wake wamemtenga