Sijakuelewa mkuu
[/QUOTE
SEBENE
Unapomquote mtu hakikisha maneno yako yawe nje ya eneo la maneno QUOTE Aidha iwe juu kabisa au chini kabisa.SEBE
πΆπΆπΆMKUU NAZANI UMEONA MANAKE
Sikiliza wimbo na midundo,usiangalie wanavyocheza kama utaona unakwazika,inaonekana mkuu ulishawahi kuwa mdhambi flani hivi kwahiyo ukiona hivyo wanavyokatika kuna milango flani ya dhambi inafunguka kichwani mwako,pole sana...Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza
Kwenda nakutana na mambo yako hiviππ
Dada anapambana kweli kweli doh ππππ
Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote
View attachment 1471043
Unaongea na Mimi au?!Sikiliza wimbo na midundo,usiangalie wanavyocheza kama utaona unakwazika,inaonekana mkuu ulishawahi kuwa mdhambi flani hivi kwahiyo ukiona hivyo wanavyokatika kuna milango flani ya dhambi inafunguka kichwani mwako,pole sana...
shemeji upo au umeenda na corona?Nipeleke huko nikatafute kimwana wa kuniburudisha weekend
sawaSikiliza wimbo na midundo,usiangalie wanavyocheza kama utaona unakwazika,inaonekana mkuu ulishawahi kuwa mdhambi flani hivi kwahiyo ukiona hivyo wanavyokatika kuna milango flani ya dhambi inafunguka kichwani mwako,pole sana...
Hah hah sikwendishemeji upo au umeenda na corona?
haleluyahHah hah sikwendi