Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

Kwani kiuno kina shida gani au ni tafsiri ya wananzengo tu mtu akitikisa kiuno kiana akili inakwenda kwenye ngono japokuwa hata kwenye 6 kwa 6 kwenyewe siku hizi hakuna mauno watu wanalala kama gogo hivyo hakuna mahusiano kati ya mauno na kile tunachowaza kwa kuwa hata huko tunapopawazia watu hawapatendei haki kwa mauno
 
Unaenda kanisani kuomba ili usiingie majaribuni,lakini hatima yake ndo unajikuta unaingia majaribuni oja kwa moja na kondoo alienona.
 
Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza

Kwenda nakutana na mambo yako hivi💃💃
Dada anapambana kweli kweli doh 🙆🙆🏃🏃

Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote

View attachment 1471043
Doh!
yesu akiwatokea munafanya viteweji hivi,anaweza akawacharaza bakora mpaka kieleweke.
Maana mimi hapo namuona Lusifa anapuliza zumari la ukahaba ,na hakuna cha Imani hapo.
 
Kwani kiuno kina shida gani au ni tafsiri ya wananzengo tu mtu akitikisa kiuno kiana akili inakwenda kwenye ngono japokuwa hata kwenye 6 kwa 6 kwenyewe siku hizi hakuna mauno watu wanalala kama gogo hivyo hakuna mahusiano kati ya mauno na kile tunachowaza kwa kuwa hata huko tunapopawazia watu hawapatendei haki kwa mauno
Aisee
 
Woyoooooooo 🔥
 
Uno linaushawishi we chezesha mikono kichwa watu hawastuki ukichezesha uno utaona balaa lake

Back
Top Bottom