Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbinguni wataingia wanaume tuu,maana sisi hamu ile ni kama kunywa maji tuAle mara ngap?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We Acha tu Mbinguni wataingia wanawake watu wazima tu
Dhambi zipo kubwa na ndogo, na ukitaka kujua angalia Daudi na Sauli 😀😀Yesu aliwajibu Mafarisayo kuwa hamna dhambi ndogo wala kubwa, dhambi zote NI Sawa
Alieiba na alieua dhambi Yao NI sawa
Eeeeh! Basi asinge viumba kama havina utamu 😀😀😀..
Karibu kanisani kwetu kumenoga[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Uuuuwi mpaka kieleweke
Jumapili SAA 1 mpaka 7 mchana
Iblisi nipitie mbali, haya ya mawazo ya kuwazia ujuzi wa huyu binti kitandani yanitoke
Chief karibu Kwa YesuNoma sana!
Ameonja utamu wa Yesu weeeutamu wa yesu.
Hapana utamu wa Yesu🏃🏃🏃🏃Hiii oya hiyo ndo shooting ya jeje au![emoji44]
Wanaume MnA dhambi nyingiMkuu mbinguni wataingia wanaume tuu,maana sisi hamu ile ni kama kunywa maji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa la walokole Buza nyuma ya Airport😂Tupe location jumapili ijayo niibuke
Yesu alikataa, akasema dhambi zote NI SawaDhambi zipo kubwa na ndogo, na ukitaka kujua angalia Daudi na Sauli 😀😀
Vinautamu mahala pale, kwenye ndoaEeeeh! Basi asinge viumba kama havina utamu 😀😀😀..