Nusu lita ya asali!!!?Kama ndio hvy hata ukipewa gari Bado utadai zaidi ya Hilo na kutaka mashindano
Weeeeh 😋Nina mshepu Kajala anasubiri
Mkuu ulifanya vyema kumpelekea asali.Dada Mbona una makasiriko Kama umekunywa maji ya chooniView attachment 2480546
Thubutu yake. Mm sigawi hovyo. Ni mpk mtu apigwe tests kibao. Huyu amefeli test ya kwanza tu ya zawadi ya birthdayKama ameshakula mzigo Haina shida , hata ukimpiga chini poa tu
Mnyamwezi fuba limekatia hapo we unataka ndinga cjui Midolla ...Nusu lita ya asali!!!?
Basi aende vijijini huko akatafute. Hapa mjini awaachie wenye helaMnyamwezi fuba limekatia hapo we unataka ndinga cjui Midolla ...
We umeifanya siku yangu iwe murua indeed 😃 😀 😄 mungu akuwekeKuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Mpendwa, nina imani huna tabia hii
We unazo ?Basi aende vijijini huko akatafute. Hapa mjini awaachie wenye hela
Usikute anaumia nafsini mwake Ila hakuambiiMpendwa, nina imani huna tabia hii
Mm mwanamke sijaumbwa kutafuta (kula kwa jasho). Ukiona mwanaume huna hela acha kuingia kwenye mahusiano. Vinginevyo utamwagwa tuWe unazo ?
Hajawahi hata kuigusa kwa mkono wakeWe sio mtamu
Kuwa mkweli dada weka wazi.Mm mwanamke sijaumbwa kutafuta (kula kwa jasho). Ukiona mwanaume huna hela acha kuingia kwenye mahusiano. Vinginevyo utamwagwa tu
Kwa hiyo ..hiyo zawadi umechukua au umemuacha nayo?Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Aliituma. Kufungua nakutana na kidumu cha nussu lita. Nilivhoka kabisa. Sijarudisha. Nilichofanya ni kumblock hapo hapoKwa hiyo ..hiyo zawadi umechukua au umemuacha nayo?
Lakini zawadi ni zawadi tuAliituma. Kufungua nakutana na kidumu cha nussu lita. Nilivhoka kabisa. Sijarudisha. Nilichofanya ni kumblock hapo hapo
Wewe unazo?Sistahili hicho, sema yeye ndiye mchovu (hana hela)