Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

Kama ameshakula mzigo Haina shida , hata ukimpiga chini poa tu
Thubutu yake. Mm sigawi hovyo. Ni mpk mtu apigwe tests kibao. Huyu amefeli test ya kwanza tu ya zawadi ya birthday
 
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
We umeifanya siku yangu iwe murua indeed 😃 😀 😄 mungu akuweke
 
Mm mwanamke sijaumbwa kutafuta (kula kwa jasho). Ukiona mwanaume huna hela acha kuingia kwenye mahusiano. Vinginevyo utamwagwa tu
Kuwa mkweli dada weka wazi.
Kwamba ukija na fungu fresh
 
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Kwa hiyo ..hiyo zawadi umechukua au umemuacha nayo?
 
Back
Top Bottom