Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

Ninakushauri Usimuoe kwa sababu utamsababishia huzuni huko mbeleni,wewe siyo husband material.Yaani wewe ni mtu flani hivi utakaye mchelewesha yeye kuendelea.unaonekana hujui unakokwenda
kwa nn mkuu
 
nkupe namba yake? subutuuuuuu🙂
 
Hivi huwaga mnawahi nini huko kwenye ndoa?

Ushasema UNABANGAIZA sasa unahangaika nini na ndoa kama bado unabangaiza?

Hauonagi shuhuda humu watu wakiwa wanahadithia wanayokutana nayo huko ndoani?

Una umri gani?
🤣Huyu mbangaizaji ni ndugu yangu tundu lisu Huyu
 
Wewe ni mburula kweli 🤔unakuja kujisifu jf kwamba unaogeshwa
una utimamu kweli wewe una 29 au ni 19 you sound totoish
 
Ukimuacha huyo Binti lazima uje ujutee baadae
Nakuambia kama mwanangu
Wanawake wanasumbua mno
Muombe Mungu akuongoze
nakuelewa sana, wanawake wengi wanapenda pesa tu yan, wanapenda show offs, na expensive life ila upendo hamna
 
Huyo yuko kwenye umri wa presha ya kuchelewa kuolewa.

Amepata pa kujishikilia lazima atumie kila resource aliyonayo asipapoteze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…