Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

We unamsubiri Grace kitoto cha 2018😁😁😁
Daah mkuu...
Ujue grace anazingua sana.
Yaani anajua fika natoka na dada ake alaafu katuma sms kwa simu ya dada ake an hapa nashindwa kujua kuwa anayetumia simu ni G au ni dada mtu...

Ila grace muacheni jamni mtoto mkali nyie khaaaa.
Ana matrako aiseee na sio mda taweka picha yake hapa
 
Habari zenu,

Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa hata miaka mi2, tena narudi tunaendeleza mahusiano). Kimuonekano mm sio handsome. Nina sura ya kawaida tu.

mwanamke huyu ana sifa zifuatazo
Yeye ni multiskilled, ni mpish mzuri sana yan akipika utajiramba, afu ni msusi afu ana ujuzi wa kushona kiufupi yy ni asset sio liability.

Miaka yote hyo hajawahi kuniomba pesa.(kuna watu mtasema eti kuna mwanaume ananisaidia majukumu). NO, huyu mwanamke n mpambanaji anafanya vibarua na sasa anafanya kibarua anacholipwa laki na nusu lakn hajawahi niomba hata 500 ya vocha.

Ni mwanamke mtiifu&anaenijali sana, nkiwa sina hela ya kula naenda kwake nakula nalala na asbuhi ananiogesha na nikiondoka siachi hata 100 na hajawahi nidai

Ni mwanamke mpambanaji na mwenye focus ya maisha yaan analipwa lak na nusu lakn kajibana mpaka kanunua vitu vyote vya ndani mfano kabati la nguo, la vyombo, kitanda, na vngine kwa pesa zake. sometimes hua ananipigia kakosa hela ya mboga anakula ugali na asali🥺

Kazn kwao wanatoka saa11 jion, akitoka kazn anaingia barabaran kwny zile folen anauza mataulo, chaja n. k kwa wale madriver.

LAKINI SASA:
Sikua na mpango wa kuoa kwa sasa lakn leo kanipigia smu anaongea huku akitoa sauti ya uchungu huku analia, anambia yeye anaona umri wake unaenda kwa hyo kama sina mpango wa KUMUOA n bora tuachane tu (naogopa nikimkosa je ntapata wapi mwngne kama yeye?)

Sura yake sio nzuri sana (simaanishi ni mbaya NO) ana sura ya kawaida tu yaan haivutii wala haikeri. mm pia sura yangu sio handsome nawaza watoto wetu si watakua na sura ambazo sio nzuri

Mimi bado nabangaiza na shughuli za ujasiriamali wa bidhaa ndogo ndogo, nikiingia kwny ndoa saiz hayo majukumu ya ndoa ntayaweza kwl?

Kanizid mwaka mmoja.

Nawaza sku nikikutana na mwanamke mwenye sura na muonekano naoutaka afu akanikubali je si ndo chanzo cha kuona nlikosea kuoa?

NB:sijamzalisha wala kumpa mimba.
Najua humu kuna watu wenye ujuzi na uzoefu wa haya mambo naombeni mnishauri jaman nimuoe au niachane nae??
Acha ufalaaa wewe mwanamke anaolewa kwa ajiri ya uzuri, tako titi sura. Mambo ya mwanamke mpambanaji hi ho sio kigezo.
Sasa mwanamme aura sio nzuri wa nini uoe?
Demu kashifika 30....huyo kwisha habari yake hafai kuolewa. Mwambie akasake wakumuoa ila sio wewe.

2025 wanaume tunaoa wanawake below 25 yrs
 
Mbona unafoka manigaaa 😅😅
 
Oa for love
Kama unampenda oa. Wengi wanadanganya miaka wanarudisha nyuma huyo ni wife material
Kuna wanawake wa kuoa
Na Kuna wale wanaopenda starehe tu
Huyo wako ni wife material angalia viongozi wore wa zamani wake zao no wakawaida ti
Mkapa, nyerere, na wazee wote wa ccm oa my ambaye atakufanya ujione mfalme soon was kukupa stress hujagusia hofu ya mungu, anatakiwa awe muumini mzuri pia.
Wanaume wengi linapokuja swala la kuoa huwa tunakivuta sana
 
Sura yake sio nzuri sana (simaanishi ni mbaya NO) ana sura ya kawaida tu yaan haivutii wala haikeri. mm pia sura yangu sio handsome nawaza watoto wetu si watakua na sura ambazo sio nzuri
Kabla sijamaliza kusoma uzi wote ila kipande hiki si cha kiungwana umenitibua 🤨
 
Yaani mwanaume unakaa unaandika unajisifu u marioooo hata aibu huna? Mjinga sana mwanamke siyo lazima akuombe hela mwehu wewe. Kama mwanaume jukumu mojawapo ni kujua mahitaji ya mwanamke na kuyatimiza kabla hujasaidiwa
Mario wa hovyo kabisa.
Kuna kipande kaandika kuna mda huyo dada anakosa mboga anakula asali huyu mtoa mada yuko Sawa kweli tena anajisifia.
 
Habari zenu,

Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa hata miaka mi2, tena narudi tunaendeleza mahusiano). Kimuonekano mm sio handsome. Nina sura ya kawaida tu.

mwanamke huyu ana sifa zifuatazo
Yeye ni multiskilled, ni mpish mzuri sana yan akipika utajiramba, afu ni msusi afu ana ujuzi wa kushona kiufupi yy ni asset sio liability.

Miaka yote hyo hajawahi kuniomba pesa.(kuna watu mtasema eti kuna mwanaume ananisaidia majukumu). NO, huyu mwanamke n mpambanaji anafanya vibarua na sasa anafanya kibarua anacholipwa laki na nusu lakn hajawahi niomba hata 500 ya vocha.

Ni mwanamke mtiifu&anaenijali sana, nkiwa sina hela ya kula naenda kwake nakula nalala na asbuhi ananiogesha na nikiondoka siachi hata 100 na hajawahi nidai

Ni mwanamke mpambanaji na mwenye focus ya maisha yaan analipwa lak na nusu lakn kajibana mpaka kanunua vitu vyote vya ndani mfano kabati la nguo, la vyombo, kitanda, na vngine kwa pesa zake. sometimes hua ananipigia kakosa hela ya mboga anakula ugali na asali🥺

Kazn kwao wanatoka saa11 jion, akitoka kazn anaingia barabaran kwny zile folen anauza mataulo, chaja n. k kwa wale madriver.

LAKINI SASA:
Sikua na mpango wa kuoa kwa sasa lakn leo kanipigia smu anaongea huku akitoa sauti ya uchungu huku analia, anambia yeye anaona umri wake unaenda kwa hyo kama sina mpango wa KUMUOA n bora tuachane tu (naogopa nikimkosa je ntapata wapi mwngne kama yeye?)

Sura yake sio nzuri sana (simaanishi ni mbaya NO) ana sura ya kawaida tu yaan haivutii wala haikeri. mm pia sura yangu sio handsome nawaza watoto wetu si watakua na sura ambazo sio nzuri

Mimi bado nabangaiza na shughuli za ujasiriamali wa bidhaa ndogo ndogo, nikiingia kwny ndoa saiz hayo majukumu ya ndoa ntayaweza kwl?

Kanizid mwaka mmoja.

Nawaza sku nikikutana na mwanamke mwenye sura na muonekano naoutaka afu akanikubali je si ndo chanzo cha kuona nlikosea kuoa?

NB:sijamzalisha wala kumpa mimba.
Najua humu kuna watu wenye ujuzi na uzoefu wa haya mambo naombeni mnishauri jaman nimuoe au niachane nae??
Naam mambo hayo ya MUNGU MENGI ila dah! Basi
 
basi hizi sifa actually ndo za wife material brother...jiongeze., ila usisahau kuwa kuna wakati wa kampeni kwenye haya maisha.
Kwenye kampeni mgombea hata akitukanwa utasikia anasema "ASANTE MDAU" subiri uchaguzi upite umtukane ndo utajua Giza kweli jeusi au la.!
nmekuelewa ila huyu namjua kitambo sana hajuagi ku-act wala ku-fake maisha. na hcho ndo nachowaza je nkimuacha ntapata wapi kama yeye kwenye hii dunia ya leo iliyojaa slay queens na gold digers?
 
Wewe jitafakari tu mkuu.

Unatumiaje simu kuingia JF?

Mbona wenzako tushatoka huko mda?

Au bado unasoma chuo mkuu?
the question is simple, wewe unatumia nn? u never know may be I have no exposure kujua hzo gadget zngne mnazotumia huko dunian
 
Back
Top Bottom