Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

Bwanamdogo unatutusi wazee wako kinamna, kwamba sisi tuna sura mbaya tukakuzaa wewe mwenye sura mbaya hivyo unaogopa kurudia makosa yetu si ndio??
ashakum si matusi lakn naomba tu mnielewe hvo mzee
 
Dadekiii
 
Kama unaona mwanamke ambaye hakuombi hata mia yupo kwenye shida kiasi anakula ugari wewe buku ya dagaa inakushindwa basi hustahili kuingia kwenye ndoa tena una roho mbaya na binafsi mno 😡😡😡
duh umeamua kunipopoa hvo
 
Kwenye makuzi yangu kwa idadi ya maplayboy nina wafahamu, asilimia zaidi ya tisini wameoa wanawake wakawaida kabisa kimwonekano,tofauti kabisa na pisi walizokuwa wakizitafuna. Ukifuatilia kilicho wavutia kwa wale mabinti ni tabia,sasa ruka ruka wewe ukutane kichomi,kuzidiwa mwaka sio issue vuta weka ndani.
 
Usije ukamuoa mwanamke kwasababu unamuhurumia....
Usije ukamuoa mwanamke kwasababu watu wamekushauri....
Usije ukaoa mwanamke kwasababu ana wezere.....
Mbona wewoo....😜
Weee mwanamke tako bwana u aoaje mwanamke flat screen
 
Sasa huyu hao wazuri hawajahi kiwala shifa iko hapo
 
nmekuelewa bro japo mm sijawah kuwa playboy tangu nabalehe hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…