Daaah aisee mpaka cookies za bangi?Maumivu yakawa makali kiasi sindano za maumivu zikawa hazisaidii ikabidi awe anagewa cookies zenye bangi ndiyo anapoa baadaye dozi ya cookies ikazidishwa.
Tiba mbadala haikujaribiwa
Sawa kamaMkuu tafuta mtumishi wa kweli wa Mungu aweze kuombea hilo tatizo.Yasio wezekana kwa Mwanadamu Kwa Mungu yanawezekana bado ana nafasi ya kuishi.
Tuingie kwenye imani maana tumeshuhudia watu wakipona magonjwa makubwa na kama hayo na yale sio mazingaombwe.
Nje ya mada,Pole sanaa! Hongera kwa kumuuguza mkeo
mwanaume mwingine angekua ashakimbia.
Ahsante sana dr, nikutafute kwa njia gani niweze kukupataMkuu pole kw ame wako kuumwa na maradhi ya Sratani ya maziwa aka Breast Cancer nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kumtibia mke wako.Kwani kutumia CHEMOTHERAPY kutammaliza mke wako taratibu atakwenda zake duniani kwani hiyo CHEMOTHERAPY haitibu Maradhi ya Cancer ya aina yoyote ile kwani CHEMOTHERAPY inauwa Cells zilizo hai na cells zilizo kufa kwa hiyo sio rahisi CHEMOTHERAPY kumponyesha mke wako unapoteza pesa zako bure hapo.
''Chemotherapy is an approach that destroy the Cells.
Chemotherapy doesn't distinguish between good cells and bad
cells. It destroys cells. It's an ACID Approach. -Dr.Sebi.
''Chemotherapy ni mbinu inayoharibu Seli.
Chemotherapy haitofautishi kati ya seli nzuri na mbaya
seli. Inaharibu seli zote. Ni Mbinu ya ACID. -Dkt.Sebi.
Mkuu hapa mpaka nimetabasamu kwakweli? Hivyo alipona kabisa?Pole sana mkuu, nakutumia inbox namba ya Mama mmoja yupo Morogoro, Mwinjilisti...... Mama yetu alikuwa na shida ya miguu lakini baada ya kumfahamu huyu mama,dawa siku ya kwanza tu.....mama anataka kuanza kucheza rede,anadawa za aina nyingi inawezekana akakusaidia pia
Done mkuuNitumie maelezo yote katika email, edsuinvestment21@gmail.com
Ni ushauri nzuri kuhusu anticancer property ya soursop leaves ila concentration ni kubwa hiyo Kwanza atapata maumivu ya tumbo na inaweza mletea shida katika figo baada ya kutumia muda mrefu.Pole sana mkuu
Chukua huu ishauri utanishukuru
Chukua majana ya stafeli changanya na maji masafi lita5 na majani yajae ndoo ndogo ya lita 10. Maji yachemshe hadi yawe ya moto then chukua hayo maji nusu lita saga na majani yamejaa chupa ya blender hadi majani na maji yaishe. Yaache yapoe mdogo mdogo masaa 12. Xhuja them mgonjwa yawe ndo maji yake ya kunywa. Unaweza kuongeza limao kuweka ladha na kamwe usiongeze kitu kingine ila kama ladha itakushinda basi ongeza tunda lenyewe ondoa tu mbegu blend ba maganda yake
Tumia hadi utakapopata nafuu
Pole sana mkuu, Neema ya mungu na iwe pamoja nawe,yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililo athirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi 3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na;
MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHO PONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.